Kwanza ashukuliwe mungu alafu mama afate
isingekua wao nisingepata mkate 🙏
Asanteni sana watanzania kwa kunipokea kijana wenu hii ni kama ndoto kwangu sina cha kuwarudishia zaidi ya kuwashukuru kwa sapoti nami naahidi kuendelea kuwaletea kazi nzuri na Mungu akatubariki sote 🙏🙏🙏🙏🖤
#Boxone is out 🙏
Bars kali sanana za moto kutoka kwa brother @mullaobo 🔥
Kalamu ya kitaa , kalamu ya uhalisia wa life la vijana
This is real Hiphop
Ungeipa ngapi 1–10?
💾 Save kama imekugusa
Follow and share na wana @raplines._daily for daily bars and @beatsandbars___ for daily Hiphop updates
Follow na kusubscribe kwa @mullaobo kupata ngoma kali
Lyrical credits 🎙@mullaobo
.
.
.
#raplines . #bongohiphop #wasafi #bongo
C H A L L E N G E C L O S E D
ANIMATED HIPHOP SONG.
SONG BY: @mullaobo
ANIMATION: @deoshujaa
Naamini mtaipenda, Nakaribisha wanamuziki wa Aina zote tufanye kazi. 0759672722.
#boxonefreestyle #mullaobo #hiphoptz #tanzania #kenya