Mfalme wa vipindi vya jioni na mtangazaji wa #5SELEKT @modoo_255 ni kama anapendezwa hivi na umoja ambao anaouna kwa wanafunzi kutoka Chuo cha @tia_tanzania katika mitandao ya kijamii
Modoo amaeleza haya ikiwa ni siku chache zimepita tangu kuwe mashindano ya Dance kutoka vyuo mbalimbali na muitikio wa Wanafunzi hao kutoka chuo cha TIA umeonekana kuwa mkubwa sana.
✍️ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka #TogetherTunawakilisha