Barnaba Paul

@_centralboy

Visual Content Creator @eastafricatv & @eastafricaradio 👉Doing Graphics & design 👉photographer & videographer📹 ☎️+255 782 065 879
Followers
5,832
Following
4,703
Account Insight
Score
32.47%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
1:1
Weeks posts
trust that every step is shaping the life you deserve. 📸@_centralboy 🙏🏻@qute_mena
1,004 18
2 months ago
Finito Fiesco 🫡
0 6
22 days ago
Taja msanii wako wa freestyle mkali zaidi hapa Bongo. @rich_msafii @februaryomar @jrjuniortz @djsummertz @mauki_tz @alikamwe 📸 @_centralboy #PlanetBongo #HainaKuchoka #EastAfricaRadio
2,543 48
1 month ago
Ongea Usikike au Kaa Kimya Usidharaulike😎 📸 @kingmussa_tv
0 20
1 day ago
Kama kuna mwanao unaamini anamfunika @billsepengaa kwa mitupio basi mtag kwenye comment. @rich_msafii @billsepengaa @dicksonmsami #FridayNightLive #FNL 📸 @_centralboy #EastAfricaTV #HainaKuchoka
888 143
2 days ago
Kwenye jukwaa la @universities_talents ni mshiriki katika kipengele cha Best poetry award @msakasozi 📸 @_centralboy
0 0
20 days ago
Chupa limeamka na chai huku 😂 Mwana Wana Man Gang @chino_kidd7 analala akiwa amechoka sana, hadi mkutanoni anauchapa usingizi. #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha ✍🎥 @shneida_infos
3,685 118
1 month ago
Kitu gani kilipelekea kuacha kukagua simu ya mwenza wako? Tuambie kwenye comment👇 #DADAZ @mwanneothmankamby @zahrasalehe_ @chica_fourteen 📸@_centralboy #EastAfricaTV #HainaKuchoka
108 11
1 month ago
Ni Wanamuziki wamekutana tena kwenye hii ngoma sio wasanii, rudia hapo ni wanamuziki sio wasanii! Pure talent, pure sounds na ladha ya muziki imesikika kwenye hii ngoma ya Finale ya @bienaimesol na @officialalikiba ambayo kiujumla imetupa good music. Ndio kwanza imetoka leo lakini huwezi kuipa muda kwamba usijue kuwa hii ni ngoma kali au mpaka uisikilize kwa kulazimishwa na challenges za content creator. Kingine cha mwisho Bien amekutana na size yake, ngoma zilizotoka hivi karibu alizoshirikiana na wabongo kawatawala sana ila humu amekutana na mkali wa hizi kazi. Nimependa nilichosikia🙌Good for the game @bienaimesol @officialalikiba @kingsmusicrecords
14.4k 423
1 month ago
Day 1 ya Kili Dome @kili_lager pale Moshi Golf Club, Kilimanjaro 🗻 #Amapiano #ScottsMaphuma #KiliLager #VyakwetuVizuri🍻
96 0
1 month ago
Dondosha comment yako ukimtag msanii anaeyependa picha kuliko @bellachristian1 @rich_msafii @billsepengaa @dicksonmsami #FridayNightLive #FNL 🎥📸@_centralboy #EastAfricaTV #HainaKuchoka
766 12
1 month ago
Ungependa @bellachristian1 achape collable na msanii gani wa singeli na kwanini? Mtag msanii huyo wa singeli kwenye comment. @rich_msafii @billsepengaa @dicksonmsami #FridayNightLive #FNL 📸@_centralboy #EastAfricaTV #HainaKuchoka
3,960 15
1 month ago