Mara Zote nimekuwa nikitamani kuona Tanzania 🇹🇿 Inazalisha Ma Superstar wengi Kadri tuwezavyo kama ilivyo kwa wenzetu Nigeria 🇳🇬 Hapo ndipo nikatamani kupata maoni ya Media Mogul nchini Big Joe @josephkusaga , Moja ya jambo analotamani litokee ni umoja Baina ya Wadau wa Sanaa na Wasanii weenyewe…Msikilize hapo na wewe Toa maoni yako…✍️
NB:Hizo Recognitions za #BigJoe Zisichukulii poa hata Kidogo 🙌🏼 Aluta Continua 🏃♀️
HELLO TAJIRI 👋 NIPO TAYARI KUWA BALOZI WA KAMPUNI NA BIASHARA YAKO SASA 🤝🫶
Let’s Talk About 1 Million Views hapo Slide Ya Pili 😘🤗
That is my Dashboard 🙌🏼 Numbers don’t Lie…So Let’s Work together🥂📌 NAWAPENDA 🥰
MSHAHARA WANGU HAUPATIKANI KIRAHISI 😅😅🙌
Niwaombe tu tukutane saa 12 jioni kwenye #eNews ya @eastafricatv nipo hapo ndugu yenu 🤝🙏
#mynameisfebruary
#eNewz
Time For Part TWO 🤗
Hapo nikapelekwa kuuona MTI MZEE ZAIDI Unamiaka zaidi ya 300 Imagine 🙌🏼 Mti huu upo ndani ya Eneo walipozikwa Askari waliopigania Uhuru Miaka hiyoo hapa Jijini Mbeya
Ninayo moja ya Mwisho,Ndugu Zangu WANYAKYUSA Chagueni Muda gani niiPost🤗🤝..Niandikieni Kwenye Coment Hapo…✍️
#mynameisfebruary
#callmefebi
#UtaliiWaNdani 🔥
#historia
Baada ya kumalizana na Mbeya Tulia marathon nilipata nafasi ya kufanya utalii wa ndani kidogo hapa jijini Mbeya #Homesweethome na kupata baadhi ya historia ya maeneo Fulani…Sasa hapa ndipo kilomita huanza kuhesabiwa..Mfano Mbeya Mpaka Dar ni #KM822 basi hapa kwenye Mnara Huu ndo zinaanza kuhesabiwa
Hii ni party 1 ninayo party 2 ya eneo jingine kaa karibu na page yangu 🤗🤝
Big S/O kwa @livvet_japhet
#mynameisfebruary
#Callmefebi
Vibe la kilele cha Betika Mbeya tulia marathon 2026 ikiwa ni msimu wa 10 🏃 🏃
Hapa mh. @tulia.ackson pembeni mtu wa burudani @februaryomar 🔥 🔥
Cc. @tuliatrust_tz
#betikambeyatuliamarathon2026
#Afya
#Elimu
Leo tumezichapa mbio fupi tayari na zilikuwa kuanzia M100, M200, M400, M800 Na M1500 ..kwa atakaye kisia nimekimbia Mita ngapi mimi nina ZAWADI yake 💵 💸 🤗🤗...Chap jaeni kwenye Coments section hapa 👇
#mynameisfebruary
#callmefebi
#BMTM2026
Cc. @tuliatrust_tz
📸 by @its_ecky
Live kutoka Sokoine Mbeya kwenye Betika Mbeya Tulia Marathon 2026 msimu wa 10, wenzako tunakata wese huku tunaboresha miondombinu ya Elimu na Afya 🙌🏼
#betikambeyatuliamarathon2026
#tulia_trust
#Afya
#elimu
Chris Brown amewajia juu ambao wanaikosoa Album yake mpya ya 'BROWN' akiwaambia kama hawapendezwi na muziki wake basi wewe sio shabiki yake na umekosea njia kumshabikia.
#eNewz @februaryomar