Dr. Tulia Ackson

@tulia.ackson

IPU President 2023 - 2026|MP - Uyole Constituency |Speaker of the National Assembly of Tanzania-2022-2025|Deputy Speaker 2015-2022|16th DAG-Tanzania
Followers
1.7m
Following
160
Account Insight
Score
74.89%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
10732:1
Weeks posts
Bibi yenyu!
159 44
10 hours ago
Leo Mei 16, 2026, uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya umeshuhudia tukio la kihistoria wakati Tulia trust wakishirikiana Betika , walio andaa mbio za marathon za Tulia Mbeya. Hafla hii imekuwa ya kipekee ikiwa ni tukio la kila mwaka linalowaleta pamoja wanariadha kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania. Katika mbio hizo za kilomita 42 kwa wanaume na wanawake, Betika tulia marathon imetoa motisha kubwa kwa wachezaji kwa kutoa zawadi kwa washindi wa kwanza na wa pili, bila kusahau zawadi kwa washiriki wa mbio za kilomita 5. Hii ni ishara ya dhamira ya @tuliatrust_tz ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii kupitia michezo na usaidizi wa maendeleo. Tukio hili limehudhuriwa na watu mbalimbali kutoka jiji la Green City Mbeya na maeneo ya jirani, Pamoja na Viongozi wa serikali,likiwa ni sehemu ya juhudi za Tulia trust kufanikisha malengo yao ya kuboresha miundombinu ya elimu na afya kwa Wananchi wa mkoa wa Mbeya Historia imeandikwa leo, na hii ni hatua kubwa inayoonyesha jinsi michezo inavyoweza kuleta maendeleo na umoja miongoni mwa wananchi wa Tanzania. cc.@tuliatrust_tz @tulia.ackson #twenzetumpangakipengere2026 #highlandsfm #tumekufikia
118 14
11 hours ago
HATUPOI KILA PAHALA
60 4
11 hours ago
Mkuu wa Chuo Cha Afya St Aggrey hakiwa kwenye Betika Tulia Marathon
52 5
11 hours ago
34 4
11 hours ago
Run Bibi!
153 26
12 hours ago
Chuo Cha Afya St.Aggrey kimeshiriki kwa mafanikio katika Betika Tulia Marathon 2026 iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine.
36 1
12 hours ago
UNCLE SAM NDANI YA BETIKA MBEYA TULIA MARATHON 2026🔥 ‎ 📍Uwanja wa Sokoine, Mbeya #BetikaMbeyaTuliaMarathon2026 #BMTM2026 #TuliaTrustAt10 #Our10YearJourney #10YearsOfTuliaTrust
49 0
12 hours ago
T99!
104 26
13 hours ago
Hasta la victoria siempre... #tuliamarathon2026 #tuliamarathon
430 21
14 hours ago
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka pamoja na Club kubwa Mbeya Afya Kwanza, Kuipa nguvu Tulia Marathoni kwa kushiriki #tuliatrustmarathon iliyofanyika Mkoani mbeya. . #mbeyaafyakwanzajoggingclub #mbeyayamazoezi #jogging #tuliamarathon
91 11
14 hours ago
Tulia Marathon Msimu Wa 10 Leo Ilikua Ni Motroooo🙌🏻 Afya Zimeimalika Mimi Nilikimbia km 42😁
59 1
14 hours ago