Kosa vyote sio hii event abeeg🙌
Wanawake wa nguvu ,this is YOUR moment!🔥
Step into a room full of powerful women, bold ideas, and unstoppable energy 💃
An exclusive experience where you will connect, learn, grow… and have FUN!
come Join powerful and inspiring women ready to elevate, empower, and build bigger together
30th May | Johari Rotana, Dar es Salaam📌
Don’t miss out — Limited tickets secure your spot/table now!
#MwanamkeKwanza #WomenInBusiness #WomenWhoLead #LevelUp #BossWomen
Miaka mfululizo ya ushindi🙏
Pokeeni shukrani za dhati sana kutoka moyoni mwangu 🙏Tumeshinda tena💪🏼
Consumer Choice Awards Africa📌
“Most proffessional Corporate and Ceremony Mcee- 2024-2025-2026”
Special Appreciation goes to my supporting system
@djwamoto@fredkilewa@sh_visual_tz@mc_kunoga@mc_noela@mcstine_events
Sifa na utukufu kwa Mungu!
I'm truly overwhelmed and deeply grateful for the incredible honor of hosting Ronny & Nadya’s wedding.
It was a privilege to witness this beautiful union in the esteemed presence of the President of Zanzibar, Dr. Hussein Ally Mwinyi, alongside the First Lady, Mama Mariam Mwinyi (the proud parents), Our very own Bibi Sitti and many other distinguished leaders from our Tanzanian government.
We had a truly unforgettable time filled with joy and love.
Wishing Ronny & Nadya a lifetime of happiness and blessings in their marriage
#McEnna🙏
Cc:
@djwamoto@kalundeeventsrentals@alexandercake@kilwanda@infocusstudio.tz@crown.maids.groomsmen@chrislundatz@tanzaniteband
@dg_events_ltd 📌
one of the best event planning and protocol company .
It was a pleasure meeting with the Managing Director, Mr @george_geofrey4
Shukrani sana kwa mapokezi mazuri.
The future is bright.
#Corporate manenoz
#McEnna
Vibe la waziri Angela Kairuki liliwafurahisha wakina mama wengi sana 🔥
Ilikua heshima kubwa sana kumtambulisha na kumkaribisha katika event ya Mama’s business gala iliyoandaliwa na Umoja wa wanawake Tanzania (UWT)
#McEnna
#UWT
Mama’s Business Gala 2026 iliyoandaliwa na UWT Mkoa wa Dar es Salaam imefana kwa kiwango kikubwa sana.
Shukrani za dhati kwa mgeni rasmi, mama yetu mheshimiwa Angela Kairuki @angellah_kairuki , kwa kuwaongoza wanawake zaidi ya 2,000 na kuwa chachu ya kuwatia moyo, kuwawezesha na kuwainua wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Shukrani za kipekee pia kwa viongozi wa UWT wakiongozwa na Mh. @marypiuschatanda na UWT Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mwenyekiti Ndugu Mwajuma pamoja na Katibu ndugu Sawia Severine, sambamba na kamati nzima ya utekelezaji ya mkoa kwa kazi kubwa ya kuhakikisha kongamano hili linafanikiwa kwa ubora mkubwa.
Kupitia gala hii, wanawake walipata burudani, mafunzo yenye tija pamoja na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii. Aidha, tuzo maalum zilitolewa kwa Raisi Dr. @samia_suluhu_hassan pamoja na mheshimiwa waziri Angela Kairuki kwa mchango wao mkubwa katika maendeleo ya wanawake na Watanzania kwa ujumla.
Binafsi, ilikuwa ni heshima kubwa sana kwangu kuongoza kongamano hili lililofana na kuacha alama kubwa kwa wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mungu ibariki Tanzania 🙏
#McEnna
@uwt@uwt_w_kinondoni@uwt_ilala@uwt_ubungo2022@uwt_temeke@uwt_kigamboni@binamubananga