πŸ₯€The Major πŸ’•πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@licky_dash

Presenter @mjinifm 92.5 ✨ Storyteller of the streets & the studio 🌍 Exploring cultures | Sharing voices πŸ“§[email protected] πŸ“ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Followers
5,478
Following
776
Account Insight
Score
32.22%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
7:1
Weeks posts
Main character energy πŸ€πŸ–€πŸ€πŸ–€ rocking #NANI #nani #diamondplatnumz #officialzuchu
0 19
7 months ago
Just realized that stress hits hardest when you take life too seriously so from today I'm all about living more and stressing less #selfempowerment
0 14
1 month ago
Major Lee......Embracing the timeless vibes, channeling my inner classic and letting the world catch up πŸ–€ #VintageSoul"
0 8
3 months ago
GENTOK | #ONAIR @headmaster_tz azichana wazi media za bongo kuwa ni sababu kubwa inayo fanya watengeneza maudhui waonekana wapo Tanzania tu na si kimataifa, kutokana na kuto post content zao wanapo kuwa nje ya Tanzania au kuwaongelea. πŸ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaa_wa_hunter | @filyfilbert 🎧 @djsqurtz πŸŽ›οΈ @am__kiki 🎞️ @official_kingdavo πŸ“» 92.5 MJINI FM πŸ“Ί YouTube: Mjini FM 🌍 Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #Gentok #TheWinningTeam #KwetuNiKwako
27 1
1 day ago
GENTOK | #IELEWEMITAA β€œWakati mwingine kuwa na mahusiano kazini yanaweza fanya upende kwende kazini” @licky_dash πŸ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaa_wa_hunter | @filyfilbert 🎧 @djsqurtz πŸŽ›οΈ @am__kiki 🎞️ @official_kingdavo πŸ“» 92.5 MJINI FM πŸ“Ί YouTube: Mjini FM 🌍 Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #Gentok #TheWinningTeam #KwetuNiKwako
22 9
1 day ago
GENTOK | #IELEWEMITAA Ukiendekeza mapenzi kazini yanaweza kutengeneza maadui baina ya wafanyakazi au ikitokea mmeachana bila maelewano. πŸ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaa_wa_hunter | @filyfilbert 🎧 @djsqurtz πŸŽ›οΈ @am__kiki 🎞️ @official_kingdavo πŸ“» 92.5 MJINI FM πŸ“Ί YouTube: Mjini FM 🌍 Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #Gentok #TheWinningTeam #KwetuNiKwako
14 0
1 day ago
GENTOK | #INTRO DJ Small aliwahi kueleza kuwa mwanzo walitengeneza kipande kifupi tu cha beat na kukipost TikTok bila kutegemea kinge-trend. Baada ya muda mfupi walishangaa kuona challenge imeenea kwa kasi huku mastaa wakubwa wa South Africa kama Focalistic na DJ Maphorisa wakijiunga. Mafanikio hayo yaliwafanya warudi studio na kuikamilisha rasmi ngoma hiyo. πŸ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaa_wa_hunter | @filyfilbert 🎧 @djsqurtz πŸŽ›οΈ @am__kiki 🎞️ @official_kingdavo πŸ“» 92.5 MJINI FM πŸ“Ί YouTube: Mjini FM 🌍 Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #Gentok #TheWinningTeam #KwetuNiKwako
55 1
1 day ago
GENTOK | #TEASER Moto wa story, burudani na mijadala ya trending uko hewani! πŸ”₯ Usikose vibe, maoni ya moto na mastory yanayotikisa dunia ya entertainment 😎 πŸ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaa_wa_hunter | @filyfilbert 🎧 @djsqurtz πŸŽ›οΈ @am__kiki 🎞️ @official_kingdavo πŸ“» 92.5 MJINI FM πŸ“Ί YouTube: Mjini FM 🌍 Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #Gentok #TheWinningTeam #KwetuNiKwako
150 13
1 day ago
GENTOK | #ONAIR Maisha ya sasa yanahitaji akili ya kidigitali πŸ“±πŸ’» Kutoka biashara, promo mpaka mawasiliano… kila kitu kipo online. πŸ”₯ πŸ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaa_wa_hunter | @filyfilbert 🎧 @djsqurtz πŸŽ›οΈ @am__kiki 🎞️ @official_kingdavo πŸ“» 92.5 MJINI FM πŸ“Ί YouTube: Mjini FM 🌍 Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #Gentok #TheWinningTeam #KwetuNiKwako
20 3
2 days ago
GENTOK | #ONAIR Vipi mtaa unao ishi au kazini kwako kuna WiFi ya mteremko. πŸ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaa_wa_hunter | @filyfilbert 🎧 @djsqurtz πŸŽ›οΈ @am__kiki 🎞️ @official_kingdavo πŸ“» 92.5 MJINI FM πŸ“Ί YouTube: Mjini FM 🌍 Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #Gentok #TheWinningTeam #KwetuNiKwako
46 2
2 days ago
GENTOK | #ONAIR Tasnia ya Nollywood ipo kwenye majonzi kufuatia taarifa za kifo cha Alex Ekubo aliyefariki may 12,2026 akiwa na miaka 40 baada ya kusumbuliwa na saratani kwa muda mrefu. πŸ•ŠοΈπŸ’” Marehemu Alex Ekubo aliwahi kushiriki kwenye video maarufu β€œJohn” ya malkia Yemi Alade. πŸ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaa_wa_hunter | @filyfilbert 🎧 @djsqurtz πŸŽ›οΈ @am__kiki 🎞️ @official_kingdavo πŸ“» 92.5 MJINI FM πŸ“Ί YouTube: Mjini FM 🌍 Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #Gentok #TheWinningTeam #KwetuNiKwako
99 4
2 days ago
GENTOK | #ONAIR Alhamisi ya leo tunakutana tena kwenye Gentok kwa vibe, mada za moto na burudani ya ukweli kabisa! πŸ“»βœ¨ Usikose kuungana nasi hewani tukifunga siku kwa energy nzuri πŸ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaa_wa_hunter | @filyfilbert 🎧 @djsqurtz πŸŽ›οΈ @am__kiki 🎞️ @official_kingdavo πŸ“» 92.5 MJINI FM πŸ“Ί YouTube: Mjini FM 🌍 Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #Gentok #TheWinningTeam #KwetuNiKwako
49 3
2 days ago