Home kiredio_Posts

Kipenzi cha 🎓

@kiredio_

SILAHA ADIMU Kipenzi Cha Wanachuo CEO | Founder Of @kiredioshow_ Award Winning uniawards_tz 20/21 22/23
Followers
1.5m
Following
885
Account Insight
Score
74.5%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
1758:1
Weeks posts
This Is Final🙌 Page No.14 Business Is A Business, Content Is A Content, The Best Is The Best And Forever Will Be The Best❤️🔐 What Do You Miss??? This Is VALENTINE DIARY Kiredio’s Outfit @sutiyangu Veedollarz’ Outfit @delightful_wedding_designs Special Thanks: @room_of_jeans 🎥 @tuesday_tajiri
118k 10.3k
3 months ago
Kaka yangu @diamondplatnumz ameniahidi kwamba Tar 16 siku ambayo nitafanya show yangu ya VALENTINES pale millenium Tower hatopoteza chochote, hatotoa nyimbo yoyote tarehe hiyo wala video ya aina yoyote🙏 Tena kaniambia niwe na amani SHOW KUBWA YA VALENTINES MWAKA HUU nimeandaa mimi peke yangu, Tanzania inanitizama... Je ushachukua Ticket Yako??? Tickets zipo Limited na zinapatikana NILIPE APP Kaka yangu kaniambia mbona elfu kumi ndogo hivyo wakati event iko moja tu Tanzania nzima nkamwambia kuna VIP Elfu 30 na COUPLE VIP(2) elfu 50 Sasa Tukutane MILLENIUM TOWER TAR 16 kwenye show yangu ya VALENTINES MOOD mimi na @benson_hauzimi , Ni Comedy & Music Show #KipenziChaWanachuo #KipenziChaJamii
86.3k 1,658
2 years ago
UDSM NI UDSM TU, Jana hakika wamethibitisha 1. UDSM Ndo Chuo Namba 1 Tanzania 2. Kiredio Ndio Kipenzi Cha Wanachuo Tz🇹🇿 Ahsanteni sana, kwa mara ya kwanza jana nimehost event 4 hrs na mpaka tunamaliza kila mtu anatamani tuendelee... comedy + good music made the best memory kwenye safari yangu🙏 Ahsanteni @wifi_plus_solutions kwa kuniamini Mungu anaendelea kua mwema sana kwenye maisha yangu, Kaka Yangu @diamondplatnumz Mungu akubariki sana, kwa muda mfupi umekua baraka kwenye safari yangu, Mungu akutunze kwa ajili ya Tanzania yetu🙏 Sasa @chino_kidd7 naomba ile show yako ya WANAMAN EXPERIENCE pale Kidimbwi tar 04 Feb nipate walau dakika kumi tuuu😂😂 #KipenziChaWanachuo #KipenziChaJamii
45.1k 764
2 years ago
UNBOXING Branded Pair Of Shoes🙌 MIKANYO @s2kizzy And I @kiredio_ Sema Huyu Babaa Ana Mikanyo Sanaaa🙌 Oyaaa, Comment Yako Isipoguswa Kuna Viatu Pair Mbili Hapa Kwa Ajili Yako📌 Lets Gooooo…
50.6k 14.0k
2 days ago
Ila Watu😂🙌 @akiba_properties.co.ltd Guyz Hakikisha Una Watu😂 Imagine Unataka Hata 10K Unakosa Mtu Wa Kukupa, Haya Mimi Hapa Nawapa Habari Njema Kuhusu VIWANJA📌 Jumamosi Hii Tunaenda Kutembelea Mradi Na Ni Bure Kabisa Unachotakiwa Kufanya Ni Kupiga Namba 069 911 7035 Tukuweke Kwenye List Tukatembelee Mradi Wetu Uliopo BOKO MNEMELA, Kibaha Pwani📍 Jina La Mradi: BOKO MNEMELA Wauzaji: @akiba_properties.co.ltd Mahali: Kibaha, Pwani Bei: Square Meter 20,000 Tu Malipo: Cash Au Kidogo Kidogo Umbali Wa Mradi: Km 9 Kutoka Main Road Huduma Za Kijamii: Zote Zinapatikana ☎️ 069 911 7035 📍 Ofisi Ipo Mwenge, Dora Tower, Floor Ya 4 Nb: Kila Jumamosi Tunakuja Kuangalia Mradi Bure Kabisa Hulipii Chochote, Kampuni Ndo Itakuleta Kwa Gharama Zake
21.4k 586
3 days ago
Finally SHOOTING DATE Is Out Now🤭 Kimbia YouTube Muda Huu Kutizama, LINK IPO KWENYE BIO☝️Wale Mlikuwa Mnasubiri Episode Ya Pili Sasa Imetoka, Msisahau Kusubscribe
22.3k 267
3 days ago
Finally, New Business @raptor_media_limited Happy Birthday One More Time @vee_dollarz01 Birthday Yako Imekuja Na Neema Nyingi Kwa Kweli, Haya Guyz Karibuni RAPTOR MEDIA Mtangaze Na Mimi Kwenye Big Screens Fire Kariakoo Na Magomeni📍 Wale Wafanyabiashara Sasa Nipo Mimi, Na Kama Mnavyonijua Niko Sector Hii Hii Ya Matangazo Kwahyo Bei Ni Nafuu Kabisa Na Kama Nlivyosema, Ukilipia Mwaka Mzima Nakupa Miezi Sita Bure Screen Yangu Ya Magomeni, Karibuni Sana Kwa Maelezo Zaidi Tupigie ☎️ 0765522522 Vee’s Dress @cloth__hand Kiredio’s Outfit @toomuchmoneystore NB: Gauni La Kwenye Screen @anna____collections
59.5k 1,523
4 days ago
Nini Umependa Zaidi Kwenye Date Yangu Ya Kwanza? Mimi Hiki Ndo Kipande Changu Nnachokipenda Zaidi Kwenye Hii Video, Kama Bado Hujaangalia Muda Ndo Huu Nenda YouTube Link Ipo Kwenye Bio📌 Ahsanteni Sana For 20K Views🙏🏻🙌🏻 Am Humbled❤️ Tulale Na 30K Views Jamaniiiii…
19.4k 207
5 days ago
AM PROUD OF MY SELF, Nawapenda sana Thank you for 2k subscribers, tukifika 5k napost the other two dates 🙏🏻❤️ KAMA BADO HUJATIZAMA KIMBIA YOUTUBE LINK IPO KWENYE BIO Let’s keep subscribing🙏🏻
7,777 63
5 days ago
Siku ya juzi ilikua siku muhimu sana kwangu kusherehekea Siku ya Kina Mama Duniani nikiwa kama mama 🤍🌸 Tulitumia muda wetu kuwafikia baadhi ya kina mama wa mtaani, kuwapa zawadi ndogo za @skinluxy_by_paulah na kuwaambia “asante” kwa kila wanachofanya kila siku 🥹✨ SkinLuxy sio skincare tu… ni confidence, self love na furaha ya mwanamke kung’ara akiwa comfortable na ngozi yake ☺️🖤 Asante @kiredio_ kwa kuungana nami kwenye hii moment ya upendo 🥰 Na mwisho mama yangu @kajalafrida am sorry 😭🤣 next time sitakutisha tena. Happy Mother’s Day kwa wanawake wote duniani 🤍
101k 1,656
5 days ago
Hello Guys, Ahsanteni Sana Kwa Birthday Wishes Zenu And I really Appreciate so much Love, Nawapenda Sanaaa❤️🙏🏻 Sasa Nawapenda Kuwakaribisha Rasmi Kwenye YouTube Channel Yangu Kusupport Kazi Yangu🤭 Kabla Ya Birthday Yangu @kiredio_ Alinipeleka Dates Tatu Na Video Iliyopo YouTube Ni Date Yetu Ya Kwanza Inayoitwa ICE CREAM DATE Naomba Muende YouTube Mkaone Maisha Yetu Nyuma Ya Mitandao, Tunavyofanya Kazi, Tunavyofanya Challenge, Tunavyokosea, Story Za Maisha Yetu Ya Kawaida Na Kila Kitu, Nna Imani Hamtoboeka Kabisa😁😁😁 LINK IKO KWENYE BIO USISAHAU KUSUBSCRIBE ACC YANGU, KULIKE NA KUCOMMENT, NAWAPENDA SANA❤️🙏🏻
12.1k 119
5 days ago
Hello Love @vee_dollarz01 ❤️🔐 Najua Umelala Ila Ukiamka Utakutana Na Hii Video Plus Caption… Hongera Sana Jana Kwa Kuzindua Rasmi Channel Yako Ya Youtube👏👏 Najua Content Hazijawahi Kuwa Rahisi, Nakutakia Kila La Kheri, More Views, More Subscribers, More Likes And Comments, Everything… I Will Support You Always… Japo Kwenye Hii Video Yako Ya Kwanza Umenishika Sana Mat*ko Humo Ila Ndo Nshaamua Kukusupport Sasa😂😂😂😂 Go Baby…. Guyzzz Nisaidieni Kumsuprise Vee Plzzzz AKIAMKA AKUTANE KWANZA NA SUBSCRIBERS 1000+ KISHA AKIJA KUSOMA HII CAPTION MPAKA HAPA AJUE NI SUPPORT YENU KUTOKA KWANGU KWENDA KWAKE, UKIENDA YOUTUBE PIA UTAENJOY SANAAA VIDEO TAYARI IPO NA LINK IPO KWENYE BIO YANGU, BIO YAKE NA INSTA STORY Letsss Goooooo🙌🙌🙌🙌 Please Nisaidie Kusubscribe, Gusa Link Insta Story🙏
29.3k 235
5 days ago