Home iamtuphyPosts

Tuphy

@iamtuphy

Followers
14.8k
Following
854
Account Insight
Score
36.15%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
17:1
Weeks posts
0 2
19 days ago
Msanii @Iamtuphy amefunguka kuhusu nafasi ya teknolojia ya kisasa, hususani Akili unde (AI), katika tasnia ya muziki, akisisitiza kuwa ubunifu wa msanii bado una nafasi kubwa licha ya mabadiliko hayo. Tuphy amesema kazi zake zote ni halisi na zinatokana na ubunifu wake binafsi. โ€œMuziki wangu si wa AI, ni original kabisa unatoka kwangu, kwenye fikra zangu na sauti yangu mwenyewe. Naweza kusema huu ni sauti ya kizazi changu,โ€ amesema. @babamankaofficial ๐Ÿ“ธ @flamingo_dr_ #nurufm #nurudigital
132 9
26 days ago
Msanii @Iamtuphy amezungumzia kwa kina maandalizi ya tamasha kubwa la Caribbean Vibes, akibainisha kuwa mashabiki wanapaswa kutarajia burudani ya hali ya juu na vibe halisi za muziki wa Caribbean. Akizungumza na Nurudigital @amtuphy amesema kuwa tukio hilo litakuwa la kipekee, likiwaunganisha wasanii mbalimbali jukwaani kwa lengo la kuleta burudani pamoja na ujumbe kupitia muziki wa Reggae na Dancehall. Tamasha la Caribbean Vibes limeandaliwa na Switchers Entertainment na linatarajiwa kufanyika April 24 Backyard Lounge, Manispaa ya Iringa likutajwa kuwa na usiku wa kipekee uliojaa burudani, vibe na muziki halisi wa Reggae & Dancehall. @babamankaofficial ๐Ÿ“ธ @flamingo_dr_ #nurufm #nurudigital
116 15
26 days ago
Leo 21 April 2026 Nurudigital tumefanya mahojiano maalum na baadhi ya wasanii kuelekea tukio kubwa la Caribbean Vibes, lililoandaliwa na Switchers Entertainment. Wasanii hao wamezungumzia mambo mbalimbali ikiwemo safari zao za muziki, maandalizi ya tukio hilo, pamoja na kugusia kwa kina imani ya Rastafari na mchango wake katika muziki wa Reggae. Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa Zaidi. @babamankaofficial ๐Ÿ“ธ @flamingo_dr_ #nurufm #nurudigital
158 9
26 days ago
BADMAN PRAYERS VISUALS OUT NOW On YouTube. Track No. 15 off โ€œThe New Seasonโ€ ๐Ÿ’ฟ Album Ft @iamtuphy ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. This is a dedication to everyone who believes ambitious hustle who believes in themselves. Stream and Download Audio Available On All DSPs. Link ๐Ÿ”— in bio. Written,Produced & Performed By #vinconthebeat & #tuphy
0 23
1 month ago
slow down by @marleen_xplastaz x @iamtuphy x @mapanch_bmb its like we only finding out about these gems now live but no so live performance with @tridybane outchea at @truthrecords__
97 22
1 month ago
IRINGA GET READY! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฒ Switchers Entertainment bring you CARIBBEAN VIBES ๐ŸŒด๐ŸŽถ Live performance by TUPHY @iamtuphy ๐ŸŽค๐Ÿ”ฅ bringing pure Reggae & Dancehall energy to the stage! ๐Ÿ“ Backyard Lounge ๐Ÿ“… Friday, April 24th Good music โ€ข Good vibes โ€ข Island energy ๐ŸŒด Pull up with your crew and come experience the Caribbean vibe live! ๐Ÿ”Š๐Ÿ’ƒ๐Ÿฝ๐Ÿ”ฅ
74 9
1 month ago
Lost in the vibe! ๐ŸŽค๐ŸŽธ๐ŸŽท Performing one of my fave songs live with an amazing crew! Can you guys guess the song name?#LivePerformance #Music
99 13
1 month ago
Talent ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ @iamtuphy beach vibes niliskia tone ya huyu rasta nkasema ngoja nifanye nae kitu ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ #tanzania #fyp
0 30
1 month ago
Discover Tuphy
92 12
1 month ago
GENTOK | #ONAIR @iamtuphy ameweka wazi kuwa amehusika kwenye ngoma za wasanii wengi wakubwa na kama kungekuwa na tuzo basi angestahili kuipata yeye. ๐Ÿ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaah_wa_hunter | @official_kingdavo | @filyfilbert ๐ŸŽง @djsqurtz ๐ŸŽ›๏ธ @am__kiki ๐ŸŽž๏ธ @kaswalalapictures ๐Ÿ“ป 92.5 MJINI FM ๐Ÿ“บ YouTube: Mjini FM ๐ŸŒ Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #GenToK #KwetuNiKwako
291 46
1 month ago
GENTOK | #ONAIR โ€œKusomea muziki siyo njia ya kufanikiwa kwenye industry ya muzikiโ€ @iamtuphy amesema kuwa kuna baadhi ya wasanii wengi hawaja soma muziki ila wanafanya vizuri, na hata ukisomea inahitaji upate elimu ya mtaani pia. ๐Ÿ† The Winning Team: @mamen_nobo | @licky_dash | @mohaah_wa_hunter | @official_kingdavo | @filyfilbert ๐ŸŽง @djsqurtz ๐ŸŽ›๏ธ @am__kiki ๐ŸŽž๏ธ @kaswalalapictures ๐Ÿ“ป 92.5 MJINI FM ๐Ÿ“บ YouTube: Mjini FM ๐ŸŒ Live Stream: www.mjinifm.co.tz #MjiniFM #GenToK #KwetuNiKwako
117 7
1 month ago