Link to my Bio 🔥🔥⚔️
Produced By
@black_ninjaah
🔥 TUKUSA 3IX -CYPHER TRACK ANNOUNCEMENT 🔥
@tukusa_clan cypher track ya kimataifa inayovunja mipaka ya Hip Hop ya mtaa na dunia.
Katika mchanganyiko wa sauti mbichi, Tukusa Clan inaleta collaboration nzito ikimhusisha MC wa Detroit, USA — Guilty Simpson 🇺🇸
@guiltysimpson
Guilty Simpson ni mmoja wa wapiga mistari wakali wa Hip Hop ya underground, mwenye historia ya kuwakilisha sound halisi ya Detroit kupitia boom bap na storytelling ya maisha ya mtaa.
🎤 CV ya kazi zake kwa ufupi:
• Albamu: Ode to the Ghetto, Dice Game, Detroit Deli (Slum Village)
• Random Axe (pamoja na Sean Price & Black Milk)
• Amewahi kufanya kazi na Madlib, J Dilla, Oh No, Elzhi, Black Milk
• Ameshiriki katika tours za Hip Hop Marekani na Ulaya akiwakilisha raw lyricism
🔥 Katika TUKUSA 3IX (B) Cypher Track, anachangia nguvu yake ya Detroit akiwa sambamba na:
🇹🇿 Nikki Mbishi
@nikkimbishi999
🇰🇪 Kaa la Moto
@kaalamotokiumbe
Hii ni collision
Detroit x Dar es Salaam x Nairobi
🎤 Mistari mbichi, falsafa za mtaa, na ukali wa kweli wa Hip Hop unakutana kwenye beat moja.
TUKUSA 3IX ,ipo YouTube 🔥
🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️