Last year when Cici came to Tanzania for her album run and to promote our song Running, we had moments we’ll never forget.
Right after an interview, we went back home and decided to record—no pressure, just pure vibes. We didn’t even realize we were creating something so special.
That’s how Crazy was born. ❤️
It’s one of my favorite songs on my upcoming album #17album and it’s really close to my heart.
Big love to you
@ciciworldwide for being part of this journey.
My fans Marshearts I can’t wait for you to hear the album for now let’s enjoy CRAZY 🔥
Mwaka jana Cici alikuja Tanzania kwa ajili ya kupromote album yake na wimbo wetu Running, siku moja baada ya interview tukarudi nyumbani na kuamua kurekodi tu kwenye vibe za kawaida.
Hakukuwa na presha, ilikuwa tu muziki… na hapo ndipo Crazy ikazaliwa.
Ni moja ya nyimbo ninazozipenda sana kwenye album yangu, iko karibu sana na moyo wangu 🤍
Asante sana Cici kwa kuwa sehemu ya hii journey.
Acha mawazo yako hapa chini… leo nasoma kila kitu 🔥
Big hugs and appreciation to the Team manager H5
Producer:
@gachib
M&M:
@bobmanecky
Writer:
@ciciworldwide @mimi_mvrs11
Cc
@johmarley_tz @misst_pr
#album17 #linkinbio #mimimars