Ni rasmi sasa dirisha la maombi ya programu ya Go Green Na IMBEJU limefunguliwa kuanzia leo tarehe 12 Februari hadi 11 Machi 2026.
Vijana mnakaribishwa kuwasilisha maombi yenu kupitia jukwaa la kidijitali la FursaHub.
Tembelea sasa apply.fursahub.com (link kwenye bio) ku-Go Green na IMBEJU au tembelea tovuti rasmi ya CRDB Bank Foundation.
#GoGreenNaIMBEJU
#CRDBBankFoundation
A Great Way to Close the Year with an Award!
Last night was a proud moment for CRDB Bank Foundation (CBF). Through the Imbeju Program, CRDB Bank Foundation (CBF) received the Best Foundation in Public Service Empowerment – Year 2025 award at the Tanzania Public Sector Innovation Awards (TPSIA) for supporting women and youth through financial inclusion and entrepreneurship.
This award shows CRDB Bank Foundation’s (CBF) commitment to financial literacy, entrepreneurship, and access to finance. So far, the Imbeju Program has reached over 800,000 entrepreneurs across the country.
CRDB Bank Foundation (CBF) thanks the TPSIA organizers, the Government, partners, and all entrepreneurs who continue to grow with Imbeju.
#Imbeju
#CRDBBankFoundation #FinancialInclusion #WomenAndYouthEmpowerment #InclusiveGrowth
CRDB Bank Foundation (CBF) was honoured as the Overall Winner in the NGOs category at the UN Global Compact Business Awards 2024!
In addition, CBF received four more awards across the 17 SDGs:
1. Winner—People Category: Best in Programs that Invest in Communities for our transformative iMbeju Kilimo program.
2. 2nd Runner Up: Prosperity Category: Best in Advancing Economic Growth and Empowerment.
3. 2nd Runner Up:Planet Category: Best in Environmental Stewardship.
4. 2nd Runner Up: Partnerships Category: Best in Partnerships with Reputable Collaborations.
We are proud of this recognition and remain committed to driving sustainable development.
#CRDBBankFoundation
#GlobalCompact
#SDGs
Kutoka Dar mpaka Arusha, Nunu Get Software Development Company walikuwepo pia kuonesha bunifu zao katika Siku ya Wanahisa wa Benki ya CRDB 2026.
Kupitia CRDB Bank Foundation, wameweza kupanua wigo wa soko lao na kuongeza wateja wakubwa kwa wadogo.
#CRDBBank
#AGM2026
Annastazia Ngoronga, mmiliki wa Pearl Aromatherapy Clinic, biashara inayotengeza bidhaa zinazosaidia watu wenye changamoto ya afya ya akili pia alikuwa kati ya vijana walioonesha bunifu zao kupitia banda letu.
Kijana huyu na biashara yake changa pia ni mmoja wa wanufaika wa iMbeju ambao wamefanikiwa kupata mafunzo na mitaji ya kuendesha na kukuza biashara zao.
Tunajivunia kuwa sehemu kubwa ya mafanikio ya vijana wengi zaidi nchini.
#CRDBBank
#AGM2026
Tunaendelea kuwekeza katika ukuaji wa biashara na uchumi wa taifa hili la sasa na la baadae.
Korean Clinic, mmoja kati ta wanufaika wa programu yetu ya iMbeju kupitia taasisi ya CRDB Bank Foundation zilizopata fursa ya kufanya maonesho ya bishahara changa bunifu za vijana kuelekea Mkutano Mkuu wa 31 wa Wanahisa.
Kupitia CRDB Bank Foundation, Benki yetu inajivunia kuendelea kuwekeza katika vijana, kuwapatia elimu ya kifedha na mitaji wezeshi ili kukua kiuchumi.
#CRDBBank
#AGM2026
Adelinus Kyaruzi, mmoja kati ya vijana kwenye maonesho bunifu katika siku ya uwekezaji wa wanahisa wa benki ya CRDB anaelezea bidhaa yake na namna ambavyo inasaidia waTanzania kukabiliana na magonjwa mbalimbali.
#CRDBBank
#AGM2026
From no electricity to a brighter future…
A group of 42 women in Isingilo village is growing their mining business through the Imbeju Program by bringing electricity to their site. Their story shows how teamwork, determination, and the right support can create real change in the community.
Read more above.
Katika ujumuishaji wananchi kiuchumi, Taasisi yetu ya CRDB Bank Foundation imetoa nafasi ya pekee kwa wanafunzi na wahitimu wa ndani ya miaka mitano iliyopita kubadili mawazo yao bunifu kuwa biashara halisi kupitia Mradi wetu wa IMBEJU - UDSM Startup Challenge 2026 tunaoutekeleza tukishirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mradi huu unalenga kubadili ripoti za utafiti na mawazo ya kijasiriamali kutoka chuoni hapo kuwa suluhu ya uhakika wa changamoto zinazoikabili jamii na taifa letu kwa ujumla.
Tukishirikiana na wabia wa kimkakati, tunaamini Programu yetu ya Imbeju itawafikia walengwa wengi hasa vijana na wanawake kote nchini, mjini na vijijini.
#IMBEJU
#MtajiWezeshi
Katika mwendelezo wa Mradi wetu wa Go Green na IMBEJU, leo taasisi yetu imezindua mafunzo kwa waombaji waliojitokeza ikiwa ni awamu ya tatu ya utekelezaji wake.
Mafunzo haya yatakayofanyika jijini Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Arusha, yatawahusu washiriki 456 waliochaguliwa katika awamu ya kwanza miongoni mwa takriban waombaji 4,000 waliojitokeza.
Mafunzo hayo yanayolenga kuwajengea uwezo wa kijasiriamali vijana wabunifu wenye miradi au biashara changa zinazolinda mazingira ambayo yamefunguliwa na Mkurugenzi wetu Mtendaji, TullyEsther Mwambapa yanalenga kuwaingezea ujuzi wa kurasmisha biashara, kutanua masoko na upataji wa mitaji kutoka taasisi za fedha.
Mradi wa Go Green na IMBEJU ulizinduliwa tarehe 12 Februari 2026 na Waziri wa Uwekezaji, Mheshimiwa Prof Kitila Alexander Mkumbo jijini Dodoma.
#IMBEJU
#MitajiWezeshi
CRDB Bank Foundation (CBF) kwa kushirikiana na Sheria Kiganjani kupitia mradi wa bomba la mafuta la ECOP inaendelea kuchochea maendeleo ya jamii kupitia Programu ya Imbeju inayotoa elimu ya fedha na ujasiriamali kwa wanawake na vijana katika maeneo yanayopitiwa na bomba hilo mkoani Geita. Kupitia programu hii, wananchi wanawezeshwa kujenga uwezo wa kiuchumi na kuboresha maisha yao kwa njia endelevu.
Mafunzo haya yameendelea kuwajengea washiriki uelewa wa usimamizi wa fedha, uwekaji wa akiba, pamoja na kuanzisha na kukuza biashara kwa kutumia fursa zilizopo katika sekta mbalimbali ikiwemo madini, kilimo na biashara. Kupitia juhudi hizi, CBF inaendelea kuchochea ujumuishi wa kifedha, kuimarisha ustawi wa jamii, na kuwawezesha wananchi kujitegemea.
#CRDBBankFoundation
#Imbeju
#Geita