@clickmaster_1 hajaacha deni lolote kwa mashabiki wa Simba na Yanga usiku huu kwenye #DerbyYaKifalme hapa Mwembe Yanga Temeke.
πΈ I @jessejeezus
Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Deni la burudani ya Derby ya Kifalme kwa wakazi wa Dar es Salaam leo hapa Mwenge Yanga litalipwa na @clickmaster_1 , anza kujisogeza kipande hiki tuifurahie pamoja game ya Simba dhidi ya Yanga.
Leo unapata full package yaani unapata burudani, uchambuzi wa kina kutoka kwa wachambuzi wote wa Crown Media huku ukitazama kwenye Big Screen, zingatia hakuna Kiingilio njoo Hakuna sehemu nyingine ya kuwa zaidi ya hapa! ποΈ