Namshukuru Mungu kwa kupata Tuzo hii ya Heshima ya DJ BORA WA USHEREHESHAJI TANZANIA 2026 π§ππΉπΏ
Kipekee kabisa, nimshukuru mke wangu mrembo
@cakelovers.pro pamoja na familia yangu kwa support yao ya kila siku na kunivumilia kwenye safari hii πβ€οΈ
Nawashukuru sana wateja wangu wote tuliolianza pamoja hili gurudumu tangu 2002 β hadi leo bado mnaendelea kuniamini na kunipa kazi. Heshima kubwa kwenu π―
Shukrani za dhati kwa team nzima ya
@expendable.djs kwa mshikamano, bidii, na kuendelea kutoa huduma bora na ya uhakika ππ₯
Nawashukuru
@basata.tanzania kwa kusimamia mchakato huu ni heshima kubwa kuona jina langu likitambuliwa katika tasnia ya ushereheshaji πΉπΏ
Pia nawapa pongezi waandaaji wa tuzo hizi
@tzeventplanners kwa kunitambua. Najua DJβs ni wengi na wanafanya vizuri sana, lakini mkaona mimi nastahili β nashukuru sana π
Safari bado inaendeleaβ¦ #KaziIendelee β€οΈππΉπΏ
#TEPA2026