Malkia wa muziki wa Bongo Flava Zuchu ameendelea kuweka historia kwenye muziki wa Afrika baada ya kuwa msanii pekee wa kike kutoka Afrika Mashariki kuingia Top 3 ya wasanii wa kike barani Afrika wenye views zaidi ya Bilioni 1 kwenye YouTube 🔥🌍
List hiyo inaongozwa na:
1. Tyla — 2.5B
2. Ayra Starr — 1.4B
3. Zuchu — 1.16B
Aise kweli huyu ndiye kiboko ya Vigagula jamani kaah 😂😭🔥🙌🏻 #entertainment #explore #like #viral #reels Follow @m2badnews
Wakati dunia ikiendelea kujadili hatua kubwa ya msanii wa hip hop Drake baada ya kuachia album tatu kwa mpigo, upande wa Afrika Mashariki nao hauko nyuma kupitia msanii wa Bongo Flava @harmonize_tz ambaye ameweka historia ya kipekee kwa mfululizo wa album tano ndani ya miaka mitano mfululizo 🤯🔥🦅
Album hizo ni 👇🏻👇🏻
• Afro East (2020)
• High School (2021)
• Made for Us (2022)
• Visit Bongo (2023)
• Muziki wa Samia (2024)
Hii ni rekodi inayoendelea kumuweka Harmonize kwenye orodha ya wasanii wenye uthabiti mkubwa wa kazi Afrika Mashariki, ikiwa ni ishara ya consistency na kasi ya hali ya juu katika tasnia ya muziki 🔥🙌🏻
Rekodi kama hizi zinaonesha wazi ukubwa wa ushindani wa muziki wa Afrika leo!
WE GOT THREE DRAKE ALBUMS AT ONCE… THE MUSIC INDUSTRY IS FINISHED 😮💨🧊
this ain’t even a debate anymore…drake is really the goat of hip hop. numbers, consistency, influence, hits bro got the whole package. 😭🍿
#Rap #album #entertainment #explore #comment follow @m2badnews 🙏🏻🙏🏻
Chemistry ya @Harmonize_tz na @Director_kenny kwenye music videos zao ni top notch kabisa 😭❤️🎥 Kila project ambayo Kenny amefanya na Konde inaonekana wazi kabisa hawa watu wana maelewano makubwa kwenye kazi yao.
Na hii imejidhihirisha tena kwenye music video mpya ya “Yazoee” iliyotoka leo… duuh hawa watu ni hatari 🔥🎥🙌🏻 #entertainment #viral #explore #comment #like follow @m2badnews 🙏🏻
COUNTDOWN TO ‘ICEMAN’: DRAKE’S NEW ALBUM DROPS IN LESS THAN 10 HOURS ⏳😭
Drake is ready to shake the world once again as ‘ICEMAN’ drops tonight 🥶❄️🧊🧊😭 #rap #album #viral #entertainment #reels Follow @m2badnews
🚨BREAKING NEWS: Mwanamuziki @rayvanny tayari amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, Abeid Amaan Karume, Zanzibar kwa ajili ya kumpokea Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka India @norafatehi ambaye anakuja nchini kwa ajili ya shughuli za muziki. 🥹❤️🇹🇿
Oyaa kaka yangu Chui naomba umlete huyo Tabata aje nimuone pleasee 🙏🏻🫶🏻 #entertainment #viral #explore #reels #comment Follow @m2badnews
Msanii @gigy_money_og ameeleza Sababu kubwa iliyofanya agombane na msanii mwenzie mwanadada @officialzuchu Kutoka WCB WASAFI 🥹❤️
Gigy anabusara sana huyu dada mungu ambariki sana AMINA! 🫂🥹❤️ #entertainment #explore #viral #reels #comment Follow @m2badnews 🙏🏻