2๏ธโฃ0๏ธโฃ2๏ธโฃ6๏ธโฃ Kwangu Niile Miaka Mtu Unajiambia Mwenyewe
I Jus wanna Do the Best I can ๐ ME vs ME Nimwaka Nimejiambia Nataka Niwekeze Zaidiii kwalengo Jema Kabisa Tuone Huu Muziki Wetu ๐น๐ฟ Unaweza Kufika Wapi ..!! Nadhani Bila Shaka Nyinyi ni Mashahidi..!!! kuikamilisha Hiii VIDEO Haikuwa Rahisi ..!!! Sitozizungumzia Sana Pesa ๐ฐ๐ฐ But Naomba Nitumie Nafasi Hii Kuwashukuru Nyote Mlio Jitoa kufanikisha Hiii Video ๐ฌ๐๏ธ
1. @director_kenny Ukimpatia Wazo Analichambua Kwa Ukubwa Sanaa ..!! Na Team Yake Yote Thanks Brotherโs โค๏ธ
2. @judithactress Niliwaza Sana Nani Atakubali Kuigiza Uhusika Huu So Ilibidi Tutafute Bint Mzuri Pia Mzoefu wakuigiza You Did Good Job ๐
3. MY WIFE @kajalafrida & MY SISTER @lamataleah SOMEONE TAG JUSTINE FOR ME โค๏ธ
4. Wengine Woooooo!!!!!!!te @kondegang WE DID GOOD JOB Inapendeza Kutazama AMAZING ๐คฉ link on Bio โค๏ธ