Baada ya muda wa ukimya… sasa ni muda wa kusikika tena 🎧
#NewContent #FreshEnergy #RealConversations
Don’t miss the next episode na Mzee wa Commercial @aytanzania weekend hii!
#PodcastInterview #DozenSelection
Marafiki zako ni kina nani, Na Hua unaishi nao vipi baada ya kupanda cheo au kufanikiwa au kushuka kimaisha? Hii nakuuliza wewe!! Ila hapa mskilize @mwanafa na story ya marafiki zake.
Full interview ipo #Youtube Channel ya #DozenSelectin link kwenye bio
Embu angalia ubora Nyumba zetu @no7gardenmasaki Bei ni zile zile kuanzia Milioni 200 tu itategemea na wewe unataka Nyumba ya ukubwa gani Tuna Nyumba za kuanzia chumba kimoja mpaka vyumba vinne Kwa ukubwa (square meters ) tofauti tofauti
Wasiliana nasi Kwa number 0740288888 Kwa normal call na whatapp
Au fika office zetu za mauzo Mwaya Street,
(location Andika UPENDO BOUTIQUE HOTEL)
Wahi Sasa zimebaki Chache sana
Tumepiga story na @mwanafa kuhusu muziki, maisha, familia na safari yake ya kuwa mmoja wa viongozi vijana ndani ya serikali. Ulikua wakati mzuri sana na tunakushukuru FA kwa muda wako.
Tayari tumekuwekea #YouTube Channel ya DOZEN SELECTION 🎥🔥
#PodcastInterview #Dozenselection #MwanaFA
Kesho kwenye episode nyingine ya @dozenselection ina mengi tulio share na @mwanafa Kwa sasa subscribe kwenye #YouTube channel ya #DozenSelection Link kwenye Bio
Pata Nyumba ya Ndoto zako MASAKI kwa kuanzia Milioni 200 tu kupitia mradi wa @no7gardenmasaki
Wasiliana nasi Kwa number 0740288888 Kwa normal call na whatapp
Au fika office zetu za mauzo Mwaya Street,
(location Andika UPENDO BOUTIQUE HOTEL)
Wahi Sasa zimebaki Chache sana
@mcgarab anaamini kama Kitchen Party za Ukweli zikirejeshwa, zitapunguza ndoa nyingi kuvunjika!! Maana kuna mengi walikua wanafundishwa kule…
Full interview ipi #Youtube #DozenSelection link kwenye Bio