Leo dozi imeongezeka kidogo ya matembezi yakulinda Afya. Ila leo matajiri zangu mmenifunza jambo kwenye eneo la kupenda viatu @mustapha.s.b@jrjunior5@desyulimali@mwijaku Basi tukakutana na kijana naona amekaa mbele anatufotoa Asante sana @mtembezi_brand kwa hizi kumbukizi za kuwatambia wajukuu uzeeni
#theblackgodfather
Afya ni nyenzo ya kuelekea nguvu kazi ya kuelekea maendeleo ya kweli.
Sisi Wana Morogoro Kusini Mashariki kwa dhati tunamaamini kuwa, ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro na Hospitali ya Halmashauri ya ……ni ukombozi mwingine baada ya manufaa makubwa ya SGR.
#theblackgodfather
Nimemletea zawadi ya maua bint yangu kama zawadi ya siku ya Mama Duniani
Ingawa leo hii nasimama kama Mama na Baba kwake ila naamini na yeye atakua Mama yangu wakunilea uzeeni pale Mungu atakaponipa umri mrefu. Happy mothers day my @babytatyana
Sikumbuki nimekuona wapi,ila hii ngoma yako nikali na zawadi pekee ambayo ningependa nikupatie ni kukulipia video ya hii ngoma. Popote ulipo mtafute @madeeali japo yeye Anaamini hizi ngoma haziuzi .. mimi naamini hii yako inaenda kuuza na kukufungulia Milango mingine siku za usoni,nimemuagiza @madeeali akutafute,au kama una namba yake Mpigie kabla siku yaleo haijaisha!! #theblackgodfather
Picha ya pamoja na Mhe. Waziri mwenye dhamana ya Ulinzi wa Taifa, babu yangu ninaye mheshimu kutoka kanda maalum, Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho. @nyansahofdn
#theblackgodfather Asante @jm_international_collection
Leo ni kumbikizi ya kuzaliwa ya Mama TT Mungu aendelee kukupumzisha salama Mkewangu.
Mimi na watoto leo tunakula keki kwa niaba yako na kupiga dua kidogo hili ni lako maana hatuna zawadi ya kukupa zaidi ya kukuombea kwa Mungu akupumzishe salama. #happyBirthdayShamsaKombo
#theblackgodfather
Happy birthday Baba Saida. Happy birthday Bwana Harusi aka mzee wa kimya kimya. Leo kazaliwa mwanangu wa dhahabu mwenye uvumilivu na hivi dunia inaona akivumilia kombe likibaki kwenye jiji la Manchester 😀😀😀 happy birthday @madeeali Mungu akupe maisha marefu nialike basi sipigi picha mkuu😀😀
#theblackgodfather