Jeremiah Mayenga

@babusungu

MARKETING EXPERT | ARTIST MANAGER @djjukk Bookings : [email protected] Patner @altraniq NEW RELEASE 🚨 DJJUKK - NATAFUTA HELA (Kwa heshimaaa)
Followers
2,429
Following
6,990
Account Insight
Score
29.01%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
0:1
Weeks posts
Happy birthday brother, maisha marefu na ushindi mwingi ….. muda umefika sasa tarehe 01/ 06 inakaribia Tanzania iko tayari inasuburia tu useme suuuuuuuuu!!!! @d_fighter1
23 2
1 year ago
Altraniq playstation league grand opening recap, asante kwa kila aliyeshiriki na pia kaa tayari kwa the biggest announcement soon!!!!
39 7
1 year ago
Mandela & Mayenga ….. nimemuwakilisha babu yangu kupiga picha na Mandela 😂😂😂😂 📸 @d_fighter1
60 13
2 years ago
Isibusiso esivela kuNkulunkulu 📸@joshy.mwemsi
72 26
2 years ago
Heri ya kuzaliwa brother @d_fighter1 , ni vema ukapewa MAUA Yako ukiwa hai , umekuwa mtu wa karibu na muhimu sana kwenye michakato , a TEAM player ambaye unapenda Kila mtu kwenye TEAM afanikiwe kitu ambacho ni nadra sana kwa watu wengi kwenye industry ambao wanapenda ubinafsi. As you enjoy your special and Big day know that we appreciate your contribution and tunakuombea kwa MUNGU miaka mingi zaidi so that you can blow out many candles. Happy birthday kaka @d_fighter1
72 19
3 years ago
"Life is from the inside out when you shift on the inside, life shifts on the outside". 📸 credit @joshy.mwemsi
77 9
3 years ago
Naweza kuwa fundi Mzuri wa kuongea na kuandika ila kwa hili napata ukakasi naishiwa na maneno ya kuweka hapo . Kwanza nianze kwa kushukukuru wadau wote ambao tuliwakimbilia kwa kuwaomba KURA za kuwezesha kuchukua Tuzo hii @d_fighter1 nakumbuka siku tunakutana meeting ya kwanza na ukasema nia yako ya kutaka tufanye kazi pamoja, kiukweli nilikuwa nishakuwa disappointed na entertainment industry kwa ujumla kwa maana ya kufanya kazi na watu wengi ambao wakishafanikiwa hawarudi aidha kuleta MAOKOTO au kutoa APPRECIATION, tulijadili tukakubaliana na kuweka plans jinsi ya kupambania kombe @d_fighter1 kiukweli umeSTAHILI tuzo hii, time yote umekuwa ukipambana na kuhakikisha tunasogea hatua zaidi na kikubwa ambacho siwezi sahau ni jinsi ambayo sio mchoyo wa kutoa APPRECIATION za mtu, umekuwa ukinitambulisha na kuniweka mbele na kuniaminisha kwa watu ambao wengine niliwahi kuwasaidia kipindi cha nyuma wakanichukulia poa but umewafanya warudi kwa HESHIMA, brother umeSTAHILI hii tuzo na usingepewa tungetengeneza yetu tukupe aiseeh 😂😂 congrats best manager TANZANIA @d_fighter1 maana wewe ndio meneja PEKEEE mwenye TUZO nchini kwetu NUMBER na DATA haziongopi. Hongera MENEJA BORA WA VIPAJI TANZANIA@d_fighter1
77 10
3 years ago
Asante Mungu kwa mwaka mwingine, please help me kukua kwa vyote HEKIMA na KIMO - Amen
123 20
3 years ago
Happy birthday producer mkali kwa Sasa duniani @aloneym1 keep winning kaka maana kwenye midundo unatuheshimisha. Can't wait for that EP mwakani mzee maana it's fire moto. Happy birthday brother @aloneym1 Nadhani baada ya birthday lile new sound lije Sasa 🎙️
98 3
3 years ago
S.M.I.L.E 😁
176 7
3 years ago
T.E.A.M cc: @d_fighter1 @aloneym1
82 6
3 years ago
HUSTLE SMART ❗❗ @d_fighter1
63 1
3 years ago