My brother …Nashindwa hata nikuweke fungu gani lakini katika vitu navichukia na kuvikataa kwenye maisha yangu ni mtu kula jasho langu kwa njia ya udanganyifu bro tumevuka nakupitia mengi sana hadi kufika hapa sisi sio wajinga kama ulivyowaza acha kunitoa kwenye mchezo nilipanga kuishi na kila mtu vizuri maana najua hapa tunapita sasa usiharibu hii kitu kwenye mfumo wangu 🙏 Halafu mbaya zaidi Unafanya utapeli na ujinga wako wote ukiwa na mwanao wa kumzaa tena bwana mdogo kama anamiaka mingi basi ni 15 huoni kama unamtengenezea njia ngumu sana wewe ni baba wa aina gani?? . Halafu mnatapeli na watu Kisha mnafunga namba zenu na mawazo yenu finyu yakujua watu wanakutana kupitia simu tu 😊 Kama umepata ujumbe huu kwa njia YOYOTE tuna siku 2 tu za kutafutana na kurejesha kila ulichochukua baada ya hapo sitakutafuta tena na sitapokea chochote kutoka kwako mjanja wa town ✅ Nasisitiza tena mtoto wako ni mdogo sana usimuingize kwenye vitu vya ajabu unatengeneza BOMU na siku litakulipua vibaya mno
NB : YOYOTE ANAEMFAHAMU AU MWENYE TAARIFA ZA HUYU JAMAA NICHECK DM NAJUA KAWALIZA WATU WENGI SANA TUMALIZANE NAE 🥂❤️ PICHA NA VIDEO TU NINAZO NYINGI SAANA 🙏
Moja Ya Ngoma Kali Kuwahi Kutokea Kwenye Kiwanda Cha Muziki Msimu Huu Na Baadae 🏆❤️ Asanteni Kwa Kuendelea Kuifanya Bora “KAMA SIO” X 🤴 @harmonize_tz Link On Bio 🥂
🎥 @xonyvisual 🙌🙌