Ni vyema kama kijana kupata muda kuiangalia hii podcast kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa
@dr_ibrachenza ambayo yanaweza kukuonesha umetoka wapi na upo wap na unaenda wap katika maisha kiufupi kuna mengi sana yamezungumziwa humo.
Shukran br
@amrisaly kwa kutusogezea madini sisi vijana.🤝
#podcast