This ep 4 Ya the chat room show show tuko na dorahstar Tutapiga nae story mbili tatu kuhusu safari yake maisha Na changamoto alizopitia Apo nyuma
@dorahstar tuko nae mjengoni this Saturday hii so ya kukosa Kabisa sababu kuna mengi ambayo uyafahamu kuhusu msanii huyu utakuja kuyafahamu kwenye the Chat Room Show as always tuko na the baddest host
@daddie_joo Hapa Mjengoni Wci Hq
Thanks to our official sponsor
@creativehousetz
@cadabrah.tz
@wci studios
@knowledgeable_clothing_line
For making this happen Don’t forget to subscribe press the notification button on YouTube kuwa kwanza kupata interview kali na ya kijanja
THE CHAT ROOM SHOW WE ARE THE NEW GENERATION