BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA ZANZIBAR
🗓️18/02/2026
Mkurugenzi wa Bodi ya Huduma Za Maktaba Zanzibar, Dkt. Ulfat A. Ibrahim amefanya ziara Katika Maktaba ya jamii inayosimamiwa na Nd. Ally Baharoon,
Mwandishi na Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Fasihi
Zanzibar huko Kiembe Samaki Mkoa wa Mjini Unguja.
Ziara hiyo iliambatana na kukabidhiwa cheti cha usajili wa maktaba hiyo pamoja na cheti cha utambuzi kwa kutambua mchango wa Taasisi hiyo katika kuhamasisha usomaji na matumizi ya Maktaba. Mwisho, viongozi hao walifanya mazungumzo ya namna gani watashirikiana katika kutoa Huduma kwa jamii. Kwa lengo la
Kuunga mkono jitihada za serekali katika kuimarisha sekta ya Elimu katika nyanja mbali mbali.
Imetolewa katika Kitengo Cha Uhusiano - Bodi Ya Huduma Za Maktaba Zanzibar
BOHUMAZA
#maktabakisimachamaarifa
dear dreamers,
always stay true to yourself no matter what. create whatever your heart desires. don’t be afraid to experiment with new mediums. believe that you’re good enough. cut out the noise. don’t worry about what other people are doing. be your best self.
happy #festivus 🥳
Ninayo furaha kubwa kuzindua mchezo wetu wa #FUMBENO 🥳
Fumbua maneno ya Kiswahili kila siku kwa kupitia
Kongole nyingi sana ziende kwa mtayarishaji mwenzangu Vanessa Linus @vee.linus mwanafunzi wa mwaka wa pili anaesomea kozi ya sayansi ya kompyuta chuo cha uhasibu #Arusha 💻
Pia nawashukuru sana Baraza la Kiswahili la #Zanzibar @bakizaznz kwa ushirikiano wao katika kuandaa kanzidata ya maneno itakayotumika katika kuendesha mchezo huu 📚
Ahsante sana kwa wapenzi wa lugha ya Kiswahili @aleesaface@arny_bk@furia_afya@mizymade@senjaro_app@wanenestudios msaada wenu umewezesha kufanikisha zoezi hili 🙌🏾
Shukrani za dhati pia ziwafikie ndugu zangu @kneenjure@_ms.joycath_comfort_@saidmuhammed kwa maoni, mawazo na maarifa yao 👏🏾
#SikuYaKiswahiliDuniani
#SikuYaLughaYaKiswahiliDuniani