Hakikisha Asubuhi yako inaanza na Asubuhi njema, hizi ni breakfast cereals kutoka Goldenpot.
Bidhaa hii inatengenezwa hapa hapa Tanzania kwa nafaka za ndani kabisa 🥳.
Asubuhi njema zinapatikana kwa ladha zifuatazo,
1.Choco pops ( Chocolate)
2.Honey crunches ( Asali )
Asubuhi njema ni rahisi kuandaa ,weka maziwa tayari kwa kula 😊.
Asubuhi njema ni bidhaa yenye virutubishi vifuatavyo ( Vitamin B12, Iron , Zinc na Folic acid )
Asubuhi njema lishe kamili tayari kwa kula 🤭
🌽✨ Afya bora huanza na lishe sahihi!
Kwa kila kijiko cha Uji Fastaa, unapata nguvu ya virutubisho muhimu kama Iron, Zinc, Vitamin B12 na Folic Acid kwa ukuaji na afya bora ya familia yako. 💪❤️
#goldenpot #ujifastaa #lishebora #lishekamili #madeintanzania
🛡️ Teaching Children Safety is Not Fear — It’s Protection 💛
Every child deserves to understand: Personal Boundaries
✔️ Safe & Unsafe Touch
✔️ How to Say “NO”
✔️ Speaking Up & Asking for Help
✔️ Body Safety Rules
At Mbonishola Child Guidance Horizon, we empower children with knowledge, skills,confidence, and safety awareness in a child-friendly environment 💫
Because informed children are safer children 💫
📩 DM for registration and program details.
#BodySafety #PersonalBoundaries #ChildSafety #SafeChildren #PositiveParenting #KidsConfidence #ChildDevelopment #SpeakUp #MbonisholaChildGuidanceHorizon
Tunawathamini , tunawapenda na tunawajali mama zetu wote duniani.
Happy Mother's Day with love from Goldenpot ❤️
#goldenpot #ujifastaa #lishebora #asubuhinjema #madeintanzania
Njaa iliknock wakati wa safari lakini Uji fastaa ukasema “not today” 😆
Uji fastaa ni Uji ambao haupikwi , ni lishe kamili tayari kwa kula kwa familia nzima na ni Uji ambao umeongezewa Virutubishi kama (Vitamin B12,Iron , Folic acid na Zinc).
Virutubishi hivi vinasaidia kuimairisha kinga ya mwili , Vinasaidia kuboresha mfumo wa umeng’enyaji wa chakula mwilini na kuongeza hamu ya kula kwa watoto na watu wazima.
Hakika Uji fastaa umekuwa mkombozi wa safari yetu kwa kuwa ni Uji ambao unahitaji maziwa/ maji ya vugu vugu na unakuwa upo tayari kwa kula 😌.
Uji fastaa lishe kamili tayari kwa kula kwa familia nzima.
Uji fastaa ladha iko huku 😊
Kwa furaha kubwa tunaungana na MBONISHOLLA CHILD GUIDANCE HORIZON katika kuwajengea watoto msingi imara wa malezi, mafunzo na maendeleo yao.
Tunaamini kila mtoto anastahili mazingira salama ya kujifunza, kucheza na kukua kwa furaha.
Uji Fastaa – lishe kamili tayari kwa kula – tupo bega kwa bega katika safari ya ukuaji wa watoto wetu.
#GoldenpotCares #UjiFastaa #KujengaKesho #ChildDevelopment
Sasa maisha yamerahisishwa na Uji fastaa, dakika chache Uji Uko tayari mezani tayari kwa kula 🤤🤭.
Uji fastaa haupikwi , lishe kamili tayari kwa kula kwa familia nzima.😘🥣🍌🍓
#goldenpot #ujifastaa #lishebora #lishekamili #madeintanzania
Tunawatakia kheri ya siku ya wafanyakazi Duniani. Hakika tunathamini juhudi , nidhamu na ubunifu wa kila mfanya kazi .
#GoldenPot #ujifastaa #lishebora #asubuhinjema #madeintanzania
Kuwa Baba 😂😂😂😂🙌🙌🙌.
Katika nyakati za kujali, chagua lishe sahihi kwa familia yako.
Mimi kama baba bora wa familia nmechagua @ujifastaa kwa ajili ya familia yangu.
Uji fastaa haupikwi ni lishe kamili tayari kwa kula kwa familia nzima , Uji huu umeongezewa Virutubisho vifuatavyo ( Vitamin B12, Folic acid , Iron & Zinc ).
Virutubisho hivi vinasaidia kuimairisha kinga ya mwili , Vinasaidia kuboresha mfumo wa umeng’enyaji wa chakula mwilini na kuongeza hamu ya kula kwa watoto na watu wazima.
Uji fastaa haupikwi, lishe kamili tayari kwa kula 🥳
@goldenpot_limited
Cc @keen.meda@injinia__
#eyoonduttu
Video by @iamtossi38
April was a blast 💥
Bidhaa zenye lishe kamili na tayari kwa kula utazipata Goldenpot pekee 🥳
#Aprilrecap#highlightvideo#ujifastaa#GoldenPot #madeintanzania
Sauti ya shukrani ndiyo motisha yetu kubwa.
Ni faraja kuona lishe bora ikiwafikia wanaohitaji zaidi, na kusikia jinsi inavyosaidia kuimarisha mwili na kuongeza nguvu.💪
Uji fastaa unatumika kuanzia watoto wa miezi sita (6) na kuendelea, hii ni lishe kamili kwa familia nzima.
Uji fastaa haupikwi , lishe kamili & tayari kwa kula na ni rahisi kuandaa wakati wowote.🥣🍌🍓
#goldenpot #ujifastaa #lishebora #lishekamili #madeintanzania