Tunda Man

@tundamantz

East African Musician 🇹🇿 Booking :[email protected] New video NAOA 👇👇 https://youtu.be/dI6mqYc9JHU?si=IbC05bGygde6AQ0m
Followers
1.5m
Following
322
Account Insight
Score
74.38%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
4693:1
Weeks posts
Lawama sio mzigo
155 14
1 day ago
Mo has raised Tanzania’s flag higher. He represented our nation at the _Africa Forward_ summit in Kenya, before over 30 heads of state and 40 private sector leaders. And that’s not all—TIME Magazine recognized him as one of the 100 most influential people and top philanthropists in the world. This isn’t just Simba’s luck. It’s a favor from Allah to all of us. We were born with a treasure. And treasures like this protect and uplift a nation. Let’s guard it, value it, and stand by it. Congratulations, Mo. Tanzania is proud of you. _PS: I know some people will come with insults now. They’ll call me a “chawa” and say I’ve been bought. Let them be—they’ve chosen to close their eyes to the truth. Or they see it, but they’ve just decided to fight against it. We can’t stop them, but we won’t stop speaking the truth because of their noise_ 😂
115 0
2 days ago
Safari ya kijana huyu haikuwa rahisi, ilianzia hapa hapa kwenye mkesha wa Mwenge wa Uhuru, kupitia mchuano mkali dhidi ya vijana wenzake wenye vipaji mbalimbali katika mkesha huu. Ndipo ,Mhe. Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, ndoto ya kijana huyo imeanza kupata mwanga mpya, jambo lililogusa hisia za wengi na kuleta matumaini kwa vijana wenye vipaji ndani ya Namtumbo. 🇹🇿🔥 Hakika mwenge wa uhuru umeleta matumaini kwa wasanii chipukizi Namtumbo.
122 4
3 days ago
Furaha na matumaini vimetawala kwa wananchi wa baada ya , Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, kuahidi kumsapoti kijana huyu aliyeonyesha kipaji kikubwa cha kuimba mbele ya @tundamantz katika mkesha wa Mwenge wa Uhuru. Hatua hiyo imegusa hisia za wengi, huku wananchi wakieleza kuwa Mhe. Homera ameendelea kuwa faraja, mlezi na mtetezi wa vipaji vya vijana wa jimbo la Namtumbo kwa kuwapa matumaini na nafasi ya kufikia ndoto zao. #JumaHomera #Namtumbo #MwengeWaUhuru #Tundaman #VipajiVyaVijana
0 1
3 days ago
Anaitwa le Capitaiiin @tundamantz umepigaje hapo???? @kidenefighter WALIMA 🍇 tuishi humu leo
6,413 204
4 days ago
Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, amempongeza @tundamantz kwa burudani nzuri aliyotoa katika mkesha wa Mwenge wa Uhuru, akieleza kuwa burudani hiyo imeongeza hamasa, mshikamano na furaha kwa wananchi waliojitokeza kushiriki tukio hilo muhimu la kitaifa. 🔥 #JumaHomera #Tundaman #MwengeWaUhuru #JimboLaNamtumbo #Burudani
447 13
4 days ago
DODOMAAAAAAAAAAA 😂🏃‍♂️ @kidenefighter 👍
12.9k 791
4 days ago
Huko tik tok watu wanaruka sana na dear x kama mdogo wangu @official_fettyclara__tz ametisha sana
125 5
4 days ago
WELCOME SMARTMOTORz 🤝 @tundamantz 🚘
69 9
5 days ago
Moyo wangu sasa hivi una amaaaani Moyo unafuraha tofaut na zaman Sura ya x ndio nilifanya niamini tulifanana na nyani Kurudi kwa huyu mbwa walah haiwezekani Ipo kwenye all digital platfom Tik tok ndio balaaa
537 29
7 days ago
#DearEx 🤝@tundamantz 🖱️CREATED BY 👉🏻@han_tan_yun 📞+255 757 171 952 📩[email protected] 🔖#world_of_han #MrEmoji
47 2
8 days ago
Dear EX …..ipo kwenye all digital platform Beat @crain_sol Ma Ex kazi mnayo
2,584 63
9 days ago