Almost deleted this track from the EP because I was honestly nervous about it, especially since I sang a verse on it myself…
But I found the courage to keep it on there because I’ve never wanted to be boxed in as a creative.
Shoutout to @toyibnd an incredibly talented artist from Tanzania with an amazing voice ❤️
He sent his take back in about three hours, and I genuinely thought he had mistakenly sent the original audio file back🔥
“NAKUPENDA,” which means I Love You in Swahili, is now out on the Fresh Prince Of Afrohouse EP🔥🔥
Streaming links are in my bio
Hope you love this tune ❤️
Mama, upendo wako ni zawadi kubwa zaidi ambayo maisha yamenipa. Kabla sijajifunza kutembea, nilikuwa tayari nimejifunza kupendwa kupitia mikono yako. Kabla sijajua ulimwengu ulivyo, nilikuwa tayari nimeona wema wa Mungu kupitia moyo wako. Umenilea kwa upendo, ukanifundisha kwa hekima, na ukaniombea kwa imani. Kila mafanikio yangu yana alama ya dhabihu zako, na kila nguvu niliyo nayo imejengwa juu ya upendo wako. Siwezi kamwe kulipa yote uliyonitendea, lakini nitabeba upendo wako moyoni mwangu milele. Nakupenda kuliko maneno yanavyoweza kueleza. Heri ya Siku ya Akina Mama kwa mwanamke wa thamani kuliko chochote duniani.
MUNGU NI MWEMA MAMA’ mdogo mdogo’ bado nasogea