Wakuu niwaombe dakika chache za kumsikiliza kijana mwezetu na baada ya hapo ukiguswa kwa namna yoyote unaweza toa msaada wako kupitia namba zinazo onekana hapo juu inshaalah mungu atupatie mioyo ya kuweza kunitoa kwenye hili amina 🙏 @bakteria_massive