PUMZIKA KWA AMAN MWANANGU PA WEWE NI MTU MWEMA SANA SANA NAWEKA HII KUMBUKUMBU KWA HESHIMA KUBWA ULINIPA KIPINDI CHOTE CHA URAFIKI WETU NAKUJA MAKAMBAKO KUHAKIKISHA KAMA KWELI MWANANGU UMEONDOKA
Ukitafuta tafakari ya Maisha huwezi
kuipata kamwe yani inakupeleka kwenye jibu
“Dunia haina Maana”
Unazaliwa maskini, unajitafuta usiku na mchana
huku kichwa kikiuma pale unapokosa chochote kitu...lakini pia unainuka kidogo ile unaanza tu kufurahia matunda ya jasho lako unakufa Tusisahau kuishi na Sio tu kuishi kufurahia
nyakati fupi za hii Dunia isiyo na Maana huku
tukitenda matendo Mema.