Valentine’s Day plans confirmed! 🌹
Steve RnB na Joslin wapo tayari kuturudisha enzi za mahaba na Bongo Classics za ukweli.
Lakini subiri, there’s more! 🕺
Laurent Michael (MJ of TZ) atakuwa ndani ya nyumba bringing that Michael Jackson magic to the stage. It’s going to be a thriller night of love and classics!
Don't miss the best Valentine’s plan in town. 🥂✨
📍 Mi Casa Lounge. Mandela Road. Ubungo
🗓️ Saturday, Feb 14th
⏰ From 7:00pm
☎️ Reserve your spot: 0775 444 999
#BongoClassicsAndRoses #ValentinesDay2026 #MiCasaUbungo #VibingSince2013
Hauwezi Kuutenganisha Muziki Wa R&B Bongo Na Jina La @stevernb Kwa Heshima Hiyo Leo Kwenye #TransformerEfm Tutakuwa Nae Kuuzungumza Muziki.
Hosts: @tajiwidi@janellejulio_
#EDigitalUpdates
Plan za Valentine bado hujakaa sawa?
We’ve got you covered! 🌹🎤
Experience a romantic night at Bongo Classic & Roses. Kaa tayari for the soulful voices of Steve RnB and Josline huku tukipata ile magic ya MJ kutoka kwa Laurent Michael.
Ni zaidi ya event, it’s a classic experience! 🥂✨
📅 Saturday 14, 2026
⏰ From 7:00pm
☎️ Reserve your spot: 0775 444 999
📍Mi Casa, Mandela Road. Ubungo
Mtag yule unayetaka kuambatana naye hapa chini. 👇🏾
#BongoClassicAndRoses #Valentines2026 #ClassicVibes #MiCasaUbungo #VibingSince2013
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @stevernb anaeleza kuwa muziki wa R&B unarudi tena kwenye ramani. Hii ni kutokana na mpango wa wasanii wanaoimba R&B kuwa na ushirikiano (collaboration) mwingi zaidi. Ameongeza kuwa wasanii hao wamedhamiria kufanya kazi kwa bidii na kwa mshikamano, hali itakayochochea kurudi kwa ladha halisi ya R&B.
Amesisitiza kuwa mwaka huu mashabiki watarajie kuona collaboration nyingi zitakazobeba ubunifu na ubora mkubwa wa muziki wa R&B.
Hosted by
@neypova_@djfantastic255@masterjimmytz ✍️
Valentine's season 🤍❤️
Sio rahisi kusamehe ila ni rahisi kutafuta zuri lake ata moja ili kupata msamaha mwingine🙏🏾
Huo ndio mwanzo wa kufuta makosa na kukaribisha mengi mazuri hujawahi ona kwake ✔️#Nafasinyingine#