We need to drink about two litres of water a day to stay healthy. Still, Pure water, sparkling water, and herbal tea are all great options and are much better choices than fizzy soft drinks or coffee. If you drink two litres of water a day, youβll drink about 60,000 litres of water in our life since the average life expectancy is around
65-70 years.
βSelebu Rockβs Pure Spring Water Ltd offers Pure, Safe, Reliable & Healthy Potable Water, with free water delivery service at your doorstep ( Maximum @300 Catons)β
Safe and Healthy Water - For You and Your Family!
Place your order today: +255 764 335 566 / +255 716 663 335
@rockspurespringwater@rockspurespringwater@rockspurespringwater
#stayhyderated #stayhealthy #healthywater #purewater #watercans waterdispensers drinkingwater mondaymotivation drinkingwaterallday
Dear Mom and Dad,
I miss you both more than words can ever explain. Not a single day passes without thinking about your love, your guidance, and the beautiful memories we shared together. Even though you are no longer here with me physically, your presence still lives in my heart every day.
Sometimes life feels heavy without you, and there are moments I wish I could hear your voices again, get your advice, or simply sit beside you one more time. But I want you to know that I am staying strong. I am continuing to fight for my dreams and moving forward in life with the values and lessons you taught me.
Please do not worry about me. I am doing my best, and I keep pushing no matter how hard life becomes. Everything I do is inspired by the strength, love, and sacrifices you gave me. I carry your spirit with me everywhere I go.
Thank you for raising me, protecting me, and loving me unconditionally. I will forever be proud to be your child. Until we meet again, keep resting peacefully.
I love you both forever, and I will always miss you.
Your child.
Solomon Lamba
Mwandaaji wa muziki, Bakteri kutoka Tanga,
amekwama Nchini India baada va safari yake ya kwenda
huko kwa ajili ya ya matibabu kukumbwa na changamoto
za kifedha, ambapo akiwa huko, aligundulika kuwa na
tatizo jingine la kiafya baada ya kufanyiwa uchunguzi, na
Madaktari kubaini kuwa niia yake ya mkojo imeziba na
hivyo kuhitaji matibabu ya haraka ili kuepusha madhara
zaidi, ikiwemo kuathirika kwa figo.
Kupitia mitandao yake ya kijamii, Bakteri amesema kuwa
alikwenda Hospitalini kubadilisha mpira wa mkoio na
kufanyiwa uchunguzi wa figo, ndipo Madaktar
walipogundua tatizo hilo, na kuwa kwa sasa hawez
kutumia mpira wa mkojo (catheter), ya kawaida, hivyo
anahitaji kufanyiwa matibabu ya kufungua njia ya mkojc
au upasuaji mdogo, huku akidai kuwa catheter
alivowekewa awali nie va kibofu huenda ilichangia
kuzorota kwa hali hiyo kutokana na kuchelewa kupata
matibabu sahihi
Aidha, kutokana na hali hiyo, pamoja na gharama kubwa
za upasuaji wa mqongo, Bakteri amesema bado
hajaanza matibabu hayo muhimu na kuomba msaada
kutoka kwa Ndugu, Marafiki na Watanzania kwa ujumla ili
aweze kugharamia matibabu vake, pia ameishukuru jamii
kwa msaada ambao umetolewa hadi sasa huku
akiendelea kuhitaji usaidizi zaidi ili kurejesha afya yake
Kwa msaada zaidi, unaweza kumchangia kupitia
Account number
Akaunti Namba CRDB
BANK-10171925838
Jina ni Athumani Omari Mbwana
Cc #MillardavoUPDATES
Ilikuwa siku njema na ya Baraka baada ya kuonana na ndugu yangu @linexsundaymjeda na kutembelea walipopumzika wapendwa wetu Mr and Mrs John Lamba pamoja na Dada yetu Neda Placid.
Naitwa @solomonlamba kutoka Indomed Hub Tanzania Nia yangu ni Kuokoa maisha ya waliyo wengi ambao wanapitia ugumu katika kupata matibabu sahihi na kwa bei nafuu katika Hospitali kubwa nchini India. Nimefanya Uamuzi wa kuleta huduma hii ni kutokana ya mimi binafsi kupitia changamoto wakati nauguza wazazi na ndugu zangu kwa kuwaleta India kama msaidizi na hivyo kujifunza mengi sana baada ya kuona wengi Watanzania wanakwama kutokana na kuamua kufanya mawasiliano moja kwa moja na Hospitali na kupewa bei kubwa na baada ya hapo anapofika mgonjwa India anapitia matatizo ya lugha, mtu wa kuwapokea na kuhakikisha anapata huduma zote kuanzia vipimo na matibabu lakini kitu kingine ni gharama za makazi na hoteli huwa ni changamoto na pia nyingi huwa mbali na hospitali husika. Kwa asilimia kubwa India Ina Hospitali nyingi sana lakini zinatofautiana katika ubora haswa katika huduma. Indomed Hub Tanzania iko hapa kukunganisha kati yako na Hospitali kubwa na bora India kwa Nia ya kuhakikisha una pata huduma ya matibabu sahihi na kwa bei nafuu bila hata kulipa FEE yeyote kwa huduma zetu. Karibuni!
@indomedhubtz@indomedhutz@indomedhutz