Maandalizi yamekamilika kwa asilimia 99%… iliyobaki ni kushuhudia furaha ya washindi wakikabidhiwa zawadi zao!
Leo ndani ya LA PATRON tunakutana rasmi kusherehekea washindi wa pili na watatu wa SMARTGIN STREET DANCERS
Shukrani kwa mdhamini mkuu kampuni ya Euromax kupitia kinywaji cha SMARTGIN kwa kuendelea kuunga mkono vipaji vya vijana.
SMARTGIN STREET DANCERS tayari wameshatua jijini Dodoma kwa ajili ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa pili na watatu, huku macho yote yakielekezwa kwa moto wa TALATALA DANCES kuelekea fainali kubwa zitakazofanyika mkoani Morogoro!
Safari bado inaendelea, vipaji vinaendelea kung’ara na ushindani unazidi kupamba moto kila siku!
Mashindano ya SMARTGIN STREET DANCERS yanaendelea kupamba moto jijini Dodoma ambapo washindi wa pili na watatu wanatarajiwa kukabidhiwa zawadi zao baada ya kuonyesha uwezo mkubwa wa kucheza na kulitawala jukwaa!
Mshindi wa Pili na Mshindi wa Tatu wataondoka na zawadi zako zinazotolewa na mdhamini mkuu, kampuni ya Euromax Limited watengenezaji wa kinywaji cha SmartGin
HELLO TANZANIA!!!
🚨🚨🚨🚨🚨
HII NI VITA YA VIPAJI KUTOKA MTAANI YANI SMARTGIN STREET DANCERS 2026..
ITARUKA LIVE KUPITUA CHANNEL YA VIJANA EATV KUANZIA MAY 16 KILA SIKU ZA JUMAMOSI SAA 4 USIKU NA MARUDIO JUMAPILI SAA 12 JIONI USIKOSE KUSHUHUDIA VITA HII YA VIPAJI VYA KUDANCE KUPITIA RUNINGA YAKO POPOTE NCHINI🔥🔥🔥
Mratibu na pia Jaji wa mashindano ya SMARTGIN STREET DANCERS, Aminayah Mambo akieleza namna washindi wa kwanza kutoka kila mkoa watakavyopata nafasi ya kushindana kwenye fainali kubwa itakayofanyika mwezi wa sita mkoani Morogoro.
Mashindano hayo yaliyopita kwenye mikoa 7 sasa yanaelekea kwenye hatua ya mwisho yenye ushindani mkubwa zaidi, huku mdhamini mkuu kampuni ya Euromax Limited, watengenezaji wa kinywaji cha @smartgin_tz wakiweka zaidi ya shilingi milioni 30 kuwania na washindi watakaoonyesha uwezo wa kipekee jukwaani.
Mshindi wa pili wa mashindano ya SMARTGIN STREET DANCERS jijini Mbeya akikabidhiwa zawadi yake ya shilingi laki tano (500,000/=) baada ya kuonyesha kiwango bora cha burudani kwenye mchujo ulioufanyika Mbeya.
Usiku wa zawadi wa SMARTGIN STREET DANCERS Mkoa wa Mbeya umejaa furaha, burudani na heshima kubwa kwa washiriki walioonyesha vipaji vyao mpaka kufikia hatua ya ushindi
Chief Jaji wa mashindano ya SMARTGIN STREET DANCERS, @neemakasote ametangaza rasmi kuanza kwa msimu mpya wa SMARTGIN Challenge utakaofanyika mwezi wa saba mwaka huu.
Neema Kasote amesema kuwa baada ya kukamilika kwa fainali za SMARTGIN STREET DANCERS zitakazofanyika Morogoro, waandaaji wataanza rasmi zoezi la kusaka vipaji vya kuimba kupitia mashindano ya SMARTGIN Challenge.
Mshindi wa pili wa SMARTGIN STREET DANCERS Mkoa wa Iringa, Mtu Giza akiwa amejishindia kiasi cha shilingi laki tano kutoka kwa mdhamini mkuu wa mashindano, Euromax Limited watengenezaji wa kinywaji cha @smartgin_tz
Mshindi wa tatu wa SMARTGIN STREET DANCERS Mkoa wa Iringa, Mg Jackson akikabidhiwa zawadi yake ya kiasi cha shilingi laki tatu kutoka kwa mdhamini mkuu wa mashindano, Euromax Limited watengenezaji wa kinywaji cha @smartgin_tz
Usiku wa zawadi kwa washindi wa pili na watatu wa SMARTGIN STREET DANCERS Mkoa wa Iringa umeacha historia nyingine ya kipekee.
Zawadi hizo zimetolewa katika party maalum ya kuwaaga washindi wa kwanza wa Mkoa wa Iringa kuelekea hatua ya fainali kubwa zitakazofanyika Morogoro.
Timu nzima ya SMARTGIN STREET DANCERS tayari ipo Mkoa wa Iringa kuhakikisha washindi wa pili na wa tatu wanapatiwa zawadi zao rasmi leo ndani ya @royal_tournightclub
Usiku wa burudani, vibe na shangwe za kutosha!