Alhamdulilah
Asante Sana Kwa Hili Nashukuru Sna Haikua Rahisi Na si kwa Uwezo Wangu Mimi😔Bali Ni Mungu Pekee
Hii ni Baraka Nyingine Kwenye Mikono Yangu Leo ni siku ya kipekee sana Nawashukuru sana Mungu kwa kunipa uwezo, nguvu na neema ya kufikia hatua hii ya kuzindua biashara yangu
@naidy_fashion @naidy_fashion Pia napenda kuwashukuru kwa dhati kila mmoja aliyeguswa na mwaliko wangu na kuitikia kwa unyenyekevu na upendo.
Uwepo wenu, sapoti yenu na maneno yenu ya kutia moyo yamenifanya nijisikie kuwa safari hii si yangu peke yangu bali ni ya pamoja. Hii ni mwanzo wa hatua kubwa zaidi, na ninaamini mema mengi yanakuja mbele yetu.
Asanteni sana kwa kuwa sehemu ya historia hii 🙏
Kwa Nafas yakipekee Niwashukuru Team nzima ya
@mimi_interiordecoration Kwa kua Na Mimi Na kudesign duka langu hili Maashalah Hakika kazi mmeifanya kubwaa sanaaa 🙏🏽🙏🏽🙌🏽🙌🏽Nyie Ni kiboko jamnn Hakika mmeweza
Dada Angu
@lamataleah Asante sana Kwa support Na upendo Ulionionyesha Kwa Hakika Umenipa Faraja Sanaa♥️
Jana decoration ya event was 10/10 Sada Tanzania hii sijaona mpinzani wako umeweza Bila nguvu
@sadas_choice_events Asante kwa kila kitu Ndugu yangu💋🥰
My team and all lamata village crew 🙏🏽
Bango la ofisini liko 10/10
@bonniedesigns__ Hili ni balaaa
My official dj
@romyjons Jana watu walienjoy mnoo Asante Wewe ni Mtu Na nusu daaah Hujawahi kuniacha Ndugu yangu Asante sanaaa🙏🏽
Upande wa vinjwaji
@ossy_cocktails_beverages Mliweza Sanaa jamn soooo classic Asanteni Sana
Mc uliweza sanaaa
@mcgarab my favorite Mc
Wasanii wenzangu na watu wote Maarufu Mliofika Na Kunisaport Mmegusa Moyo wangu sanaaa kwa Namna siwezi kuelezea Wallahy Nyiny ni ndugu zangu nawapenda
Bila kumsahau
@itsdvoice Mpnz wangu tumekesha na kupambana Pamoja Nakupenda wewe Ni Watofauti sana watu wangu wote Wa karibu Wameona Hilo Umenionyesha nn maana ya kupendwa na kupendana 🥰♥️
Mwisho Nawashukuru Waandishi Wa Habari Na Media zote Mlizoshiriki nami Siku ya Jana 🙏🏽Asanteni Sana Mungu awabariki Mnoo👏🏼
My suit
@jm_international_collection umeweza Sana
Makeup
@cherrysuzie bby umeweza na unanipatia sanaaa🙏
Hair
@goddesshairtz
Thanks sooo Much
@ringocakeland Cake jamn ni tamu Uwii