UPDATING ,NEWS , HIGHLIGHTS

@singelifans

β€œ#1 Source ya Singeli πŸ”₯ New releases β€’ Trending beats ⚑ Mashabiki wa kweli wanakaa hapa 🎧 Ukichelewa, sisi tushasikia tayari πŸ’¨β€ DM +255 742 380 018
Followers
45
Following
179
Account Insight
Score
13.37%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
0:1
Weeks posts
WEWE UNAFIKILIA NYIMBO GANI ITAIZIMA HII COLABO YA @ibra_malume @itsdvoice
2 0
7 hours ago
DVOICE KASHAVUA KOFIA HUKOO #trending #viral #new
4 0
1 day ago
EMBU TUAMBHIE KWENYE COMMENT SECTION NANI ANAFAA KUPEWA TAJI #trending #viral #new
42 0
1 day ago
WEWE UNAFIKILI NANI HATAUWA KWENYE COLABO HII
1 0
1 day ago
VYUMA VIWILI VIMEKUTANA LAZIMA CHECHE ZITOKE #trending #view #viral #new
2 0
3 days ago
JE NI YEYE ???
9 0
6 days ago
@stopperza HII NOMA SANAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ #trending #tanzania #view #new
4 0
8 days ago
Huyu India anaishii kabhisaa
1 0
9 days ago
@mczomorfani KIONJO CHA NYIMBO MPYA #trending #viral #homemade
3 0
9 days ago
HATUMII HATANGUVU MWENYE TARATIBU @raisi_wa_first_year
9 0
10 days ago
Kumbukumbu za Miaka ya 90: "Mchezo wa Dawa ya Meno" Uliotikisa Tanzania! πŸ¦·πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’° Kama uliishi Bongo katikati ya miaka ya 90, lazima utakumbuka hili sakata! πŸ˜‚ Au kama wewe ni mtoto wa juzi, waulize wazazi wako watakwambia jinsi mjini kulivyochafuka. Huu ndio ulikuwa ujio wa kwanza wa biashara za upatu (Pyramid Schemes) tukiaminishwa kuwa ni Multilevel Marketing (MLM). Story ilikuwa rahisi: "Jiunge na kampuni yetu, uza hizi dawa za meno, ingiza watu wengine, na tutakupa utajiri wa haraka!" Ukweli ulikuwaje? Watu walichukua mikopo, walitumia akiba zao za maisha, na wengine waliuza hadi mifugo ili kununua ma-carton ya bidhaa hizo (ambazo mara nyingi zilikuwa za ubora wa chini). Matokeo yake? Watu walijaza ma-carton ya dawa za meno majumbani ambayo hawakuweza kuyauza. Waliowaingiza wengine walifaidika kidogo, lakini walioko chini walipoteza kila kitu. Kampuni zikafunga na kukimbia na pesa za watu! Hili lilikuwa funzo kubwa la kwanza kwa Watanzania wengi kuhusu "utajiri wa haraka." Watu walibaki na huzuni na madeni, huku wakiwa na dawa za meno za kupiga mswaki kwa maisha yao yote. πŸ˜… Wewe unakumbuka nini kuhusu huu mchezo? Kuna ndugu yako aliingizwa mkenge? Au wewe mwenyewe ulikuwa "Champion" wa kuuza? πŸ˜‚πŸ˜‚ Tuibue kumbukumbu kwenye comments hapo chini! πŸ‘‡πŸΎ #Tanzania #TBT #KumbukumbuZetu #MiakaYa90 #BongoFlava TanzaniaHistory UpatuScam Nostalgia TanzaniaKwanza PesaZaMadafu
1 0
11 days ago
MJADALA USHAISHA @officialzuchu Mke Wa boss @diamondplatnumz
7 0
12 days ago