Simba Sports Club (Queens)

@simbaqueensctz

🏆 X 4 Tanzania Women's Premier League Champions 🏆 X 1 Cecafa Winner
Followers
970k
Following
61
Account Insight
Score
52.63%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
15899:1
Weeks posts
Tupo tayari kwa mchezo 🔥🏟️ #NguvuMoja
1,260 26
6 hours ago
Wiki ya raha inaendelea Msimbazi, tukutane KMC kesho tuna kazi na Ruangwa Queens. #NguvuMoja
610 27
7 hours ago
Nenda kaangalie msimamo usipotukuta namba moja jua AI imehusika. 💯🦁 #NguvuMoja
1,259 15
8 hours ago
Maandalizi ya kuwakabili Ruangwa Queens yanaendelea ⚔️ #NguvuMoja
689 20
14 hours ago
Mazoezi yakiwa safi, confidence nayo inapanda ⚡️ MO XTRA — kuongeza nguvu ni kawaida yetu. #NguvuYaMabingwa #MOXTRA #SimbaQueens
146 4
16 hours ago
Maskini namba 13 hakuzoea kucheza na wataalam wa boli kama Aisha Mnunka. 🤓🦁 #NguvuMoja
1,234 10
2 days ago
Taja majina yao kisha mwaga moto! 🔥🦁 #NguvuMoja
817 31
2 days ago
Mtangazaji wa zamu ni Vivian Corazone baada ya Kumpa za kichwa Mtani. #NguvuMoja
8,494 217
2 days ago
Wanasimba si mme-enjoy jana au kesho tuwafate kambini kwao tena tuwabonde? 🦁🔥 #NguvuMoja
1,105 78
2 days ago
Hii ndio wizara ya raha na burudani kwa Wananchi wa Msimbazi na nchi jirani. 👊🦁 #NguvuMoja
641 20
2 days ago
🗣️ Kocha Mgosi baada ya mchezo wetu wa leo dhidi ya Yanga Princess. #NguvuMoja
2,631 40
3 days ago
Goli linawauma hili Jentrix Kafunga mbele ya Mabinti wa Jumba jeupe. #NguvuMoja
6,756 154
3 days ago