LIPIA FASTA, SAFIRI KIBOSI.
Tumia Selcom Pesa kulipia safari zako bila STRESS!
Pata tiketi yako ndani ya sekunde bila kuchelewa.
Wajanja tayari wame-switch.
Pakua App ya Selcom Pesa sasa hivi.
NIDA yako. Namba yako. Dakika moja tu. Ni simple.
Switch to Selcom Pesa.
#SwitchSeries
#Switch2SelcomPesa
#SelcomPesa
#GharamaNafuu
#SaveMore
Weekend vibes zimeanza π
Jiunge na Bando la Miamala enjoy weekend yako bila stress ya makato.
Wewe focus na vibe sisi tunashughulikia malipo.
#selcompesa
SELCOM PESA IMELETA AMANI KWA VIJUMBE
Sasa vijumbe hawaingii hasara tena!
Wanapokea pesa kamili na kutuma bure bila makato
Mitaji na faida ya vikundi inaongezeka kila wakati
Pakua app β Jisajili kwa Namba yako ya Simu na NIDA
#SwitchSeries
#Switch2SelcomPesa
#SelcomPesa
#GharamaNafuu
#SaveMore
Umetuma pesa kimakosa?
Usipaniki! Unaweza kurudisha muamala uliokosewa ndani ya dakika 10 kwenye miamala ya kutuma pesa kwenda benki au mtandao wa simu
Endelea kufanya miamala yako kwa kujiamini ukitumia Selcom Pesa
#selcompesa
#makatomadogokuliko
#switch2selcompesa
Kila unapotumia kadi yako, ndivyo unavyokuwa karibu zaidi kupata vibe la kipekee la fainali ya UEFA Champions League
Tumia Selcom Pesa Mastercard kufanya manunuzi ya kimataifa mtandaoni au kwenye maeneo mbalimbali ya mauzo, na upate nafasi ya KUJISHINDIA safari ya kwenda Serengeti kwa ajili yako na mtu mmoja wa karibu na kuhudhuria special UEFA Champions League Final Screening.
Kadri matumizi yako yanavyoongezeka, ndivyo nafasi yako ya KUSHINDA inavyokuwa kubwa zaidi!
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Every swipe gets you closer to the ultimate UEFA Champions League Final experience.
Use your Selcom Pesa Mastercard for international online and/or in-store purchases and you could WIN a Serengeti getaway for you and your plus one for a special UEFA final screening
And yes, the bigger your total spend, the bigger your chance to WIN
T&Cs apply.
#selcompesa
#mastercard
#uefachampionsleague
,
SWITCH SERIES EP11 VIOLETH JOHN (KIJUMBE) PART 2
SELCOM PESA IMELETA AMANI KWA VIJUMBE
Sasa vijumbe hawaingii hasara tena!
Wanapokea pesa kamili na kutuma bure bila makato
Mitaji na faida ya vikundi inaongezeka kila wakati
Pakua app β Jisajili kwa Namba yako ya Simu na NIDA
#SwitchSeries
#Switch2SelcomPesa
#SelcomPesa
#GharamaNafuu
#SaveMore
Umeshawahi kuwa kwenye plan halafu ghafla budget haikubali?π
Iwe ni shopping, kula na marafiki, au hata kujaza mafuta maisha hayaishi hapo na Selcom Pesa Lipa Later, unapata huduma sasa na kulipa baadae bila stress.
Endelea na mipango yako, swala la malipo tuachie sisi
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#selcompesa
#lipalater
Habari njema kwa wateja wetu wa Taboraπ₯
Tunapenda kuwataarifu kuwa kituo chetu cha Tabora sasa kipo wazi na tayari kuwahudumia. Tupo Kanyenye Road, karibu na Citizen Hall
Huduma zinazopatikana
Mawakala wa Selcom sasa wanaweza kupata float kwa urahisi naharaka, na wateja wa Selcom Pesa wanaweza kufika katika kituo hiki kuongeza fedha kwenye akaunti zao papo hapo, kupata Selcom Pesa Mastercard, na pia kupata msaada wa moja kwa moja kuhusu matumizi ya huduma mbalimbali zinazopatikana kwenye aplikesheni ya Selcom Pesa
Karibu tukuhudumie π«Ά
#selcominatosha
SELCOM PESA INATOSHA
Selcom Pesa inakupa kila sababu ya kufurahia Maisha
Lipia huduma na bidhaa KIRAHISI na HARAKA bila stress ya MAKATO
Wajanja wote wameshahamia selcom Pesa!
Pakua app β Jisajili kwa Namba yako ya Simu na NIDA
#SelcomPesa
#Switch2SelcomPesa
#GharamaNafuu
#smartchoice