Kwa mikono ya shukrani tumezipokea kwa ukubwa pongezi za Mhe. Rais, Mama na Kipenzi chetu. Tunajivunia kutoa huduma kwenye taifa linalotuweka pamoja kwa upendo kutoka kwa kiongozi namba moja wa nchi hadi tulipo Wananchi ( Waswahili).
Tunaichukua hii kuwa chachu ya kuendelea kuelimisha, Kuburudisha na kuwezeshana kwa ushirikiano na serikali pamoja na mamlaka zake.
_
Miaka 10 ya kulihudumia taifa kwa mapenzi ya dhati na mahaba yasio na ukomo. Tuliibeba dhamana ya kuiwakilisha mitaa na kuipa hadhi ya nyota tano.
Muziki Ukaongea Tukasepa na Kijiji bila kupoa wala kuboa tukalizungumzisha taifa kwa mchezo usiohitaji hasira na hakika #KaziIendelee 👏🫡🙏
Waambie Waache Kukunja Ngumi, Pambano Limeisha📌
Babaako @jonijooo Anakukaribisha Leo Saa Tatu Kamili Usiku Kwenye Msimu Mpya Wa #Interpol : Ni @tvetanzania Pekee📺
Bango Kadondoka Kenya🇰🇪 Kapokelewa Na Ngechu @prezzo254 : Movie Time🍿
#InterpolSeason3 #InterpolTVE
Hakuna Neno Linaweza Tosheleza Chochote tutakachosema juu yako . MWENYEZI MUNGU AIPE NAFSI YAKO PUMZIKO LA MILELE BOSS WANGU . REST WELL SEBO REST WELL BOSS WANGU .🙏