We have received a GPE team, representatives from unicef, ministry of Education, PMO Regional Adm and local governments to our region to visit gpe funded education projects today.
Tumewanenea mazuri wanawake wajasiria mali wa wilaya ya Ilemela, nawashukuru CRDB benk, Kafiti foundarion chini ya Mh Kafiti mbunge wa Ilemela, NSSF chini ya mwamvuli wa hifadhi scheme kwa kutoa amana, dhamana ya mikopo zaid ya shilingi milioni 500 kwa awamu ya kwanza na kwa ujumla udhamini wa shilingi bil 3.
Katika Maisha kuna wakati unakuwa na nia ya Kufanya makubwa na inahitaji sana uwe na nidhamu kubwa na uvumilivu wa kuhiimili maumivu, Mimi kama muwekezaji nilikuwa nimetumia pesa nyingi niliwekeza mbinu na utawala kujenga @biasharautdmara ili we taasisi kubwa na imara na nilipokelewa vizuri sana na mkuu wa Mkoa , tulikaa kikao kadhaa na kukubaliana kupandisha team league kuu. Nilitamani kuonyesha kitu kwenye mpira wa Nchi hii ambacho niko nacho kama mdau wa Mpira na na mfanya biashara. Taarifa za kuhamishwa mkuu wa mkoa @said_mtanda nilizipata tukiwa morogoro saa sita usiku, tukiwa tunajiandaa n mechi dhidi ya Transit Camp, mechi tulishinda 5-1 . Na hapo zikabaki mechi 3 ninazoweza kusema Pamba kweli alipandishwa na Mwamba Mh Said Mtanda. Imagin tulipoteza mchezo wa team ambayo tayari ilikuwa imeishashuka daraja Pan Africa. Wakati huo niliujua vizuri mpira wa Tanzania. Pesa zote nilizowekeza hapakuwa na ROI, na baada ya Hapo niliamua kupumzika ili nipoze maumivu ambayo mpaka sasa hayajapona ila ni kuvumilia tu. KUHUSU PLAY OFF DHIDI YA TABORA UNITED , siwezi kusema lolote, japo nina mengi Moyoni tunapiga moyo konde. Ila kiukweli @said_mtanda akiamua kufanya jambo aiseee anafanya na mimi aliniambia pambana na playoff tutaangalia namna ya kukusaidia. @juma_ayo@crownfmtz@shaffihdauda_tz
Nimeshiriki kumsindikiza safari ya mwisho Bibi Holo mama mzazi wa Eng Chagu wa idara ya miundombinu ofisi ya mkuuwa mkoa mwanza, Mazishi yaliiyofanyika wilaya ya kishapu mkoa wa Shinyanga leo. Apumzike kwa amani.