BABA P

@richmitindo

Businessman | Entrepreneur Award winning Male Fashion and Designer Founder and Owner @mitindoclassicsuits .familyMan👨‍👩‍👧‍👦 .0757114813 📞
Followers
854k
Following
687
Account Insight
Score
72.13%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
1243:1
Weeks posts
Tujifunze Kuiona kheri Hata Ndani Ya Shari 🙏
1,705 40
16 days ago
Familia yangu, furaha yangu ❤️ Mke wangu na watoto wangu ni baraka kubwa sana maishani mwangu. Hapa ndipo moyo wangu unapopata amani, upendo wa kweli na nguvu ya kusonga mbele. Ninamshukuru Mungu kwa zawadi hii ya familia. Nitawalinda, nitawapenda, na nitawathamini siku zote. My everything ❤️🙏
20.6k 310
1 month ago
Leo ni siku ya furaha kubwa kwangu 💙 Mwanangu mpendwa, nakutakia siku njema ya kuzaliwa yenye furaha, upendo na baraka tele. Wewe ni zawadi ya thamani sana katika maisha yangu. Kila siku ninamshukuru Mungu kwa kunijalia kuwa na wewe. Nakutakia afya njema, mafanikio, na maisha yenye nuru na furaha isiyoisha. Endelea kuwa mtoto mwema, mwenye heshima na ndoto kubwa. Baba na Mama Tunakupenda sana kuliko maneno yanavyoweza kueleza. Happy Birthday mwanangu @mitindojr
15.8k 91
1 month ago
Qad aflaha man zakkāhā, wa qad khāba man dassāhā, Jumaa kareem ❤️ @pp_aircargo.tz 🙏
1,468 36
1 month ago
Hi
3,322 80
1 month ago
I think if April 2019 me and April 2026 me sat in a room, they wouldn't believe each other. 😅
2,010 20
1 month ago
Ukishakuwa huna kitu ww Ndo unaenda kwa watu, ila ukishakuwa Tajirii unachagua watu😂
8,464 165
1 month ago
Mwanamke mzuri wa Kesho unaandaliwa leo happy women's day to all the strong beautiful and inspiring women @min_wolpertz @mitindojr @wolperstylish 🥰❤️❤️
21.6k 264
2 months ago
HandsomeBoy Akiwa anatoka shule Ndo kama anaenda apendi uchafu Kabisaa ❤️❤️
6,921 79
2 months ago
❤️❤️
14.6k 164
2 months ago
Happy Sunday ❤️
24.0k 517
2 months ago
Inawezekana wewe hauna shida mtu 🙏 Ila watu wana shida na wewe ? Jitahidi kusali sana, dunia ya leo si rahisi.
7,770 98
3 months ago