Home raza_leePosts

MR SEMATENAA 🇹🇿 🌍

@raza_lee

Mayor of Zanzibar Municipality (Mjini) 🇹🇿 Speaker of the Municipal Council (Baraza la Madiwani)🏛️ Businessman & C.E.O owner @St_beachvilla
Followers
146k
Following
163
Account Insight
Score
65.18%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
899:1
Weeks posts
Mr President @dr.hmwinyi 👑🇹🇿🙌🏽
8,357 123
4 years ago
Welcome to your ultimate getaway! SemaTena beach private villa offers luxury and comfort at its finest. @st_beachvilla 5~Bedrooms Each room boasts its own attached bathroom, along with 3 living rooms, dining area, and fully equipped kitchen. Dive into relaxation with your own private pool and stay cool with full air conditioning and backup generator. Kid-friendly amenities include a PS5, 107-inch TV, and table tennis, ensuring endless entertainment. Plus, enjoy outdoor gatherings with our barbecue space, terrace, and ample parking for extra guests. Your home away from home awaits! #mustvisit2024 #zanzibarisland #zanzibar #luxurytravel #bestvilla #travel #
13.2k 223
2 years ago
Honored to welcome Ugandan President Hon Yoweri Museveni to @ST_beachvilla 🙌🏽 We extend our gratitude for his time and support to the ST Villa team 🌟 #Zanzibar #Uganda #SemaTena
10.9k 162
2 years ago
tulisoma hadithi kwa kundi la watoto wadogo katika shule ya Amani iliopo Mjini Zanzibar. Pia kuwatia Moyo kwamba tupo na kuwaangalia hivo ni wajibu wetu Pia Serikali ya @dr.hmwinyi imejipanga kuwajengea School ya G+4 ambayo ndani ya mwaka mmoja tu kukabidhiwa watoto wa wa Mjii huu tutahakikisha wanapata mwanzo bora na wenye nguvu zaidi maishani.
0 0
10 days ago
NI MARUFUKU VIBANDA VYA KAMARI NDANI YA MJII HUU WA ZANZIBAR
7,281 196
16 days ago
Ninatoa shukrani za dhati kwa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kuungana @bunge.tanzania kushuhudia uwasilishaji wa bajeti,Nikiwa Mayor wa Zanzibar Mjini Manispaa nitaendelea kuthamini ushirikiano huu katika kuimarisha maendeleo ya taifa. #MrSematenaa
6,578 104
25 days ago
Leo nimeongoza Baraza kuu Manispaa ya Mjini Zanzibar la bajeti kwa kuwasilisha dira pana ya matumizi yenye tija, uwazi na ubunifu wa hali ya juu. Tumeainisha mipango ya kimkakati inayochochea ukuaji wa uchumi, kuvutia uwekezaji wa kimataifa na kuimarisha miundombinu ya kisasa—ikiwa ni pamoja na huduma bora kwa wananchi wetu. Kupitia maamuzi haya ya kijasiri na yenye maono, tunaijenga Mjini Zanzibar kuwa mji unaong’ara kimataifa, kitovu cha fursa, ustawi na maendeleo endelevu. Hii siyo tu bajeti, bali ni ramani ya safari ya mafanikio ya kizazi cha sasa na kijacho.
0 60
29 days ago
CHOMBO KIPO NDANI YA MJII #MWENGEWAUHURU
0 48
1 month ago
0 18
1 month ago
Rais wa Zanzibar @dr.hmwinyi na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi akielekea Pemba kuwasha Mwenge wa Uhuru Taifa — nuru ya maendeleo, umoja na uzalendo.
0 53
1 month ago
Jumaa kareem #MrSematenaa
0 225
1 month ago
Kuwazawadia watoto 300 yatima nguo za Eid. Ni faraja kuona tabasamu zao—tunaendelea kujenga jamii yenye upendo na mshikamano.
0 45
1 month ago