#BURUDANI: Kampuni ya
@tala_waves inayojihusisha na shughuli za Masoko na Burudani nchini Tanzania yenye Ofisi zake Makao Makuu Dodoma, ndio kampuni iliyoandaa tamasha kubwa la
@Diamondplatnumz la #RetroNight lililofanyika jijini Dodoma.
Kampuni hiyo ni kampuni tanzu ya TALATALA LOUNGE, ambayo inafahamika kwa namna inavyotoa Burudani kwa wadau wa Dodoma tangu mwaka 2023 ilipoanzishwa.
Siku ya leo Msanii wa muziki wa Bongo Fleva,
@tidmusic ambaye pia ni mjumbe wa idara ya Entertainment wa
@tala_waves na
@talatala_lounge @tidmusic ametangaza kuendelea kwa msururu wa burudani kupitia tamasha kubwa litakalofanyika Mei 30, 2026 katika Mkoa wa Mbeya.
Muendelezo huo wa burudani unakuja baada ya mafanikio makubwa ya show ya Retro Night iliyofanyika jijini Dodoma usiku wa Mei 09, 2026, ambapo mashabiki wengi, na Viongozi mbalimbali walijitokeza kushuhudia burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wakubwa pamoja na wanamuziki waliotumbuiza kwa kiwango cha juu.
Kutokana na mafanikio hayo, waandaaji
@tala_waves na
@talatala_lounge iliwapa Credit kubwa sana na kupelekea kuamua kuhamishia burudani hiyo katika mkoa wa Mbeya kwa lengo la kuwapa mashabiki wa ukanda wa Nyanda za Juu Kusini nafasi ya kupata burudani ya kipekee.
#NjaroMEDIA
#NjaroTV
#NjaroUPDATES
WakaliWaUPDATES