I just had to transcribe one of my favorite keyboardist @kevpowell1 ,He really is a great musician.
This organ movement!!! Sounds so good!!
.
.
.
.
.
.
.
#proudlymusician🇹🇿
#pianocovers
#pianoplayers
#musicians #musicalmoments
THE HEALING MISSIONARIES PRESENTS..
FINALLY..
OUR ALBUM CALLED PRAISE CRUSADE VOLUME 1 IS OUT NOW IN ALL DIGITAL PLATFORMS, PLEASE GO CHECK IT OUT AND STAY BLESSED🙏🏾
BELLA KOMBO AACHIA WIMBO MPYA “KUTA ZA YERIKO” AKIMSHIRIKISHA MINISTER PAUL CLEMENT
Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania, Bella Kombo, ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “Kuta za Yeriko”, akiwa amemshirikisha mtumishi na mwimbaji mashuhuri wa Injili kutoka Rwanda, Minister Paul Clement.
Wimbo huu ni wimbo wa sifa, imani na ushindi, unaowakumbusha waumini juu ya nguvu ya kumsifu Mungu hata katikati ya changamoto kubwa za maisha. Kupitia ujumbe wa kibiblia wa kuta za Yeriko, wimbo huu unawahimiza watu kusimama katika imani, kwani Mungu bado anaangusha kuta za vikwazo, hofu na kukata tamaa.
Ushirikiano wa Bella Kombo na Minister Paul Clement umeleta mguso wa kipekee, kwa sauti zenye nguvu ya kiroho na maneno yanayogusa moyo, jambo linaloufanya wimbo huu kuwa wa baraka kubwa kwa wasikilizaji wa nyimbo za Injili ndani na nje ya Afrika Mashariki.
Wimbo “Kuta za Yeriko” tayari upo YouTube, ambapo mashabiki na waumini wanahimizwa kuutazama, kuusikiliza na kushiriki ili kueneza ujumbe wa matumaini na ushindi.
🎶 Tazama sasa YouTube:
Tafuta: “Kuta za Yeriko – Bella Kombo ft Minister Paul Clement @ministerpaulclement x @officialbellakombo
#globalgospelimpact #gospeltothenations
’M truly grateful to GOD for the ability and opportunity to serve through music 🙇🏽🙏🏾
It’s an honor to be part of this project as Music Director & Music Arranger.
Special thanks to Minister Bella Combo for the trust and collaboration.
Humbled and thankful 🙇🏽🙏🏾🎶✨