Revelation 5:11-12
“Nikaona, nikasikia sauti ya malaika wengi pande zote za kile kiti cha enzi, na wale wenye uhai na wazee; na hesabu yao ilikuwa elfu kumi mara elfu kumi na maelfu ya maelfu;
Wakisema kwa sauti kuu, Anastahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa kupokea uweza, na utajiri, na hekima, na nguvu, na heshima, na utukufu, na baraka.”
#dedoselah #wastahili #muhanyi