Nyieee mm naona rahaaaa😂😂😂🥰🫡
Moyo wangu Uko kwa hawa watu ❤️
Happy birthday ROUHY mume halali wa @officialzuchu wangu ❤️❤️❤️
Happy birthday Boss wangu mwalimu wangu.
Happy birthday superstar Africa No 1 Male artists 🔥🔥💫
Happy birthday Simba La masimba 🦁
Happy birthday shemela wangu. 😍🔥
MUNGU wa mbinguni asikupungukie hata kidogo unatuinua sana sisi ambao tuko nyuma yako. Asante kwa kumpenda da Zuu wetu ❤️😂🫡 guys ZUHURA ANAPENDWA BUANAAA❤️❤️❤️❤️❤️🥰✌🏻
Enjoy your day Tajiriiiii MUNGU atunze sana. We love you 😘
@diamondplatnumz@diamondplatnumz@diamondplatnumz
Happy birthday MAMA ..
Leo moyo wangu unatamani kitu kimoja tu MAMA Na ni Mara ya kwanza kwenye maisha yangu kujua siku yako ya kuzaliwa 😭😭😭😭😔😭🙏🏼I wish ungekuwepo hapa tusherehekee pamoja. Ningekukumbatia kwa nguvu na kukuandalia keki nzuri ya kuzaliwa, nikuone ukitabasamu. Lakini kwa kuwa upo mbali na macho yangu, nakuweka karibu na dua hizi mbili za mwenyezi MUNGU.
Basi Mwenyezi Mungu ndiye Mbora wa kulinda, naye ndiye Mwenye kurehemu kuliko wote wenye kurehemu.😭🙏🏼
(Qur’an 12:64 — Surat Yusuf)
Mola wetu, tupe duniani mema, na Akhera mema, na utuepushe na adhabu ya Moto🤲🏼🙏🏼
(Qur’an 2:201 Surat Al-Baqarah)
Happy Birthday MAMA, hamu ya kukuona haitaisha mpaka tutakapokutana tena.😭😭😭😭😭😭😭🤲🏼🙏🏼
Pumzika kwa amani kiumbe wangu wa thamani. Siku yako ya kuzaliwa iwe na nuru ya kudumu❤️🎂
Inallah wainallah rajoun 😭💔💔💔
Weweeeeee tuliiiiiiiiiia sikilizaaaaaa 😂🫰🏼🔥🔥🔥🙌🏻
#aye by @officialzuchu audio out 🫡🔥🔥🔥 Ila pale mwishoni mie ndo napendraaaaa 🤣🤣🤣 Mtu mwenyewe kumbe AI hebu toka hapaaaa😂
Happy Birthday to a soul that radiates nothing but kindness. Rouhy wa Mr Abdul 🤍upole wako na roho yako nzuri ni zawadi tosha kwangu🫰🏼Thank you for being such a consistent and supportive friend through every season of my life. Umeishi na mimi vizuri sana, na nathamini kila dakika ya urafiki wetu. May this new year bring you as much peace and joy as you give to the world. Love you always! 🎂❤️ nilijua kukupelekesha kwenye pirika za harusi yangu 🤣 My @only_jojomoney 🎂🤍