National Institute Of Transport

@nit_updates

🎓SONIT 40 Official Page 🚀 Updates | Events | Announcements 📞 0767 736 840 "LEAD WITH KNOWLEDGE,SERVE WITH HEART" Follow @nit_tanzania1 for more
Followers
31.4k
Following
415
Account Insight
Score
39.11%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
76:1
Weeks posts
HISTORIA INAENDA KUANDIKWA TENA RASMI SASA SERIKALI YA WANAFUNZI NI AWAMU YA 40 CHINI YA @wiliammvungi95
554 35
10 months ago
Tunawashukuru Sana Wafuasi wetu kwa Kuendelea Kutufatilia zaidi!... Hakika Heshima ni yetu sote🏆 Tunaahidi makubwa mazuri yanakuja Endelea kufatilia ukurasa wetu kwa Taarifa,Michezo na Burudani kalii kabisaa kutoka ndani ya Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji na nje 🔥 Mpaka Tufike 👉 50k ,, Let's Go Guys💪 Credits to Admins;- @jumapili_255 @bikolimanakairo @heyman.designs #leadwithknowledgeservewithheart #nithomeofexcellence #30kfollowers
495 61
3 months ago
Swipe 👉 kuona yale machache niliyogundua. Maybe yatakusaidia wewe au rafiki yako anayeanza safari hii 💭 Na wewe je? Kuna kitu ungetamani ungekijua mapema? 👇 Drop jibu lako kwenye comments! Content by: @mwanachuofamily Design by: @heyman.designs @jumapili_255 @bikolimanakairo @heyman.designs @unistar_talk @uni_trendings24 @tia._icon @nit.celebrities @nit_trendings
424 42
10 months ago
Je unatamani kuwa mdhamini au mshirika wa event ya Mr & Miss NIT 2025/2026, nafasi ziko wazi. Wasiliana nasi Leo +255 657 641 309
17 0
4 hours ago
Unahisi nani anastahili ? Mtag rafiki Yako ambaye unahisi anastahili kuvaa taji hili Kisha mwambie akachukue form mapema isimpite🚀
36 7
6 hours ago
🏆 NIT AWARDS 2025-2026 IS HERE! 🏆 Ni msimu wa kutambua na kusherehekea vipaji, ubunifu, na mchango mkubwa wa wanafunzi wa NIT! Kutoka kwenye burudani, michezo, uongozi, hadi ujasiriamali kila juhudi inathaminiwa. 🌟 Pitia Awards Categories hapo juu uone ni wapi jina lako au la rafiki yako linafaa kusimama. Nani anastahili kuondoka na tuzo msimu huu? 📞 Kwa maelezo zaidi, ushiriki (participation), au udhamini (sponsorships), wasiliana nasi kupitia: +255 657 641 309 “Lead with knowledge, serve with heart” #mr&missnit2026 #leadwithknowledgeservewithheart #elimunauongozi
91 20
10 hours ago
REGISTRATION IS OPEN NOW! 📢 Fika ofisi za SONIT zilizopo mkabala na Block 16, kujichukulia fomu yako kwa ajili ya kuwania tuzo za Mr & Mrs NIT na categories nyinginezo. 🚀 Deadline 19th May, 2026.
36 11
12 hours ago
🎤 Tulikaa chini na 👑 wa mwaka jana, Steven Mroso @a.g.u.s.t.a.v.o 😮‍🔥 Confidence, experience na real campus vibes zilikuwa mezani 🔥 Kutoka kushinda taji mpaka kusimulia journey yake yote… motivation kubwa kwa washiriki wa mwaka huu 👑✨
0 8
13 hours ago
👑 MR & MISS NIT 2026/27 OFFICIAL LAUNCH 🔥 Safari ya kutafuta mfalme na malkia wa NIT imeanza rasmi 😮‍🔥 Beauty, confidence, talent & intelligence vinakwenda kukutana jukwaa moja ✨ Hii season sio ya kawaida… NIT tunataka moto zaidi kuliko mwaka jana 🚀@mvp.abeid_abeid Waziri mkuu serikali ya wanafunzi NIT kwa niaba ya Rais akitangaza uzinduzi rtasmi 🔥🔥
0 4
14 hours ago
ALIYEKUAMBIA NIT KUNA VITABU TU NANI? Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi chuo cha NIT ameweka nukta na kufungua milango rasmi! Shughuli ya uzinduzi wa Miss & Mr NIT 2026 imekamilika kwa kishindo kikubwa, na sasa jukwaa liko wazi kwa ajili YAKO. Je, una muonekano, akili, karama, na uwezo wa kuwakilisha chuo chetu? Huu ndio wakati wa kung'aa! Zoezi: Usajili wa Washiriki (Miss & Mr NIT 2026) Kuanza: Kesho, Jumamosi (Tarehe 16/05/2026) Usikae kinyonge, fursa ndio hii imetua mlangoni kwako. Nani unahisi anafaa kuwa mfalme au malkia wa NIT mwaka huu? Mfanye kumtag hapa chini. #MissAndMrNIT2026 #NITUpdates #StudentGovernment #WaziriMkuuNIT #ChuoChaUsafirishaji
0 27
1 day ago
Ujumbe kwa vijana wote wenye tabia kuigiza maisha ya kifahari ni kwamba wanapaswa kujikubali. Hii ni kutoka Kwa Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi SONIT-40 Mhe. Abeid Abeid @mvp.abeid_abeid Piah Amezungumzia Grand opening ya MISS. & MR. NIT na mwisho Process za uchaguzi zitaanza hivi karibuni.
246 28
1 day ago
Happening Today 🚀 “MR & MRS NIT GRAND OPENING” Lead with knowledge, serve with heart
104 24
1 day ago