Unajua sio tu garden zingatia ukubwa na usalama wa wageni waalikwa ...
Karibuni kwa booking jamani muda wa shuhuli ndio huu...
#tanzania#kenya
#newgeneration#hall
#dodomaalikibacrownfm
Nice Garden for Small and Huge events .
New Generation Hall ina-garden kubwa ya kumudu watu 1000+
Packing kubwa kwa magari ya size ya kati
Sehemu kubwa ya wazi kwa ajili ya story za hapa na pale unapokuwa unawait kwa ajili ya shuhuli kuanza
Hakika sehemu ni nzuri sana na wengi wanapapenda
Karibuni sana
#dodoma #tanzania #events#wedding
#dodomatanzaniaevents
Baraza la mitihani Tanzania tunawashukuru sana kwa kuwa pamoja nasi ndani ya Ukumbi wetu Bora sana Dodoma nao si mwingine ni New Generation Hall, Mbarikiwe sana sana 🙏🙏🙏🙏
#newgeneration #hall#dodoma
#church #gospal
mcdj
Pia
Tunazikaribisha Baraza zote
@basata.tanzania , @bakwatatz , @bakita_tz , @barazalavijanamjini , @nemctanzania na @cmt_tanzania
Kuja kujumuika nasi, maana tunatambua uwepo wenu katibuni sana
@newgeneration_hall tumepata bahati ya kuwa na shuhuli ya wadau wa Tanesco Tanzania, wakifanya hafla fupi ya kumuaga Eng. Athanasius Henry
Kiukweli shughuli ilifana sanaaa
Hongereni sana Tanesco
#tanzania #kenya#daressalaam
#newgeneration#hall