Kuna siku ambazo hubaki kuwa kumbukumbu ya kawaida, lakini kuna siku ambazo hubadilisha namna unavyoiona ndoto yako. Jana ilikuwa moja ya siku hizo kwetu.
Tulipata heshima na bahati kubwa ya kutembelea ofisi za @bbcnews , @bbcswahili pamoja na redio yao, na kwa kweli ilikuwa experience yenye mafunzo makubwa, inspiration kubwa na matumaini mapya kwa wanafunzi na uongozi wa Academy.
Kuanzia namna tulivyopokelewa, elimu tuliyopewa, mazingira tuliyoyaona, hadi nafasi ya kujifunza kutoka kwa watu wanaofanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa zaidi duniani ya habari na utangazaji kila kitu kilikuwa cha kipekee sana.
Wanafunzi wetu na uongozi walipata nafasi ya kujifunza kuhusu media professionalism, confidence, communication, broadcasting, storytelling, branding pamoja na nidhamu ya kazi inayohitajika ili kufikia kiwango cha kimataifa. Haya ni mambo ambayo hayawezi kufundishwa kwa maneno pekee, bali kupitia exposure, experience na kuona kwa macho yako mwenyewe watu wanaoishi ndoto zao kila siku.
Tunajivunia kuona wanafunzi wakitembea ndani ya mazingira makubwa kama haya huku wakijifunza, kuuliza maswali na kupata hamasa mpya ya kuendelea kusimamia vipaji vyao. Jana haikuwa tu seminar ilikuwa reminder kuwa ndoto za vijana wetu ni halali, zinawezekana na zina thamani kubwa sana mbele ya Mungu.
Usiidharau mwanzo mdogo maana Bwana hufurahia kuona kazi inaanza — Zekaria 4:10
Kwa kweli tunaamini kila hatua tunayopiga leo ni maandalizi ya kesho kubwa zaidi. Kila mwanafunzi aliyefika jana aliondoka na kitu kichwani, moyoni na kwenye maono yake ya maisha. Wengine waliona sehemu wanayotaka kufanya kazi siku moja, wengine walijifunza confidence ya kuzungumza mbele ya watu, na wengine waligundua kuwa vipaji vyao vinaweza kuwafikisha mbali zaidi ya walivyowahi kufikiria.
Asanteni sana BBC kwa kutukumbusha kuwa mafanikio huanza na kujifunza, kujituma na kuamini uwezo ambao Mungu ameweka ndani yetu.
Jana ilikuwa zaidi ya ziara. Ilikuwa ni siku ya kuona possibilities, kuhamasika na kuamini kuwa sisi pia tunaweza.
Asante Sana BBC.
Mkufunzi wa urembo na miondoko Tanzania Pato Adam kutoka @mudamodels anasema haikuwa rahisi kwake kuanza kufundisha walimbwende kwani jamii ilimkosoa na kuona anafanya jambo lisilo la kawaida kufanywa na wanaume
-
Kwa miaka mitatu amekuwa akiifanya hii na ameanza kujipatia umaarufu mtandaoni nchini Tanzania huku baadhi ya wanafunzi wake wakiwa tayari wamefanya vizuri kwenye majukwaa ya mitindo na urembo kimataifa
-
🎥: @eagansalla_gifted_sounds
-
-
-
#bbcswahili #tanzania #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #tiktokkenya #urembo #mitindo
Behind The Scenes at BBC
Kila mafanikio makubwa huanza na maandalizi makubwa nyuma ya pazia. Juzi tulipata nafasi ya kipekee kuwa ndani ya studio za BBC, tukijifunza, tukishuhudia professionalism ya hali ya juu, na kupata experience ambayo wengi huiota.
Kutoka kwenye maandalizi ya vipindi, namna ya camera zinavyofanya kazi, hadi teamwork ya watu waliopo nyuma ya mafanikio ya BBC tumegundua kuwa ubora hauji kwa bahati, unajengwa kwa nidhamu, maarifa na passion.
Hii ni zaidi ya ziara ni motivation kwa kila mwanafunzi kuamini kuwa ndoto zake ni halali na zinawezekana.
Asante sana BBC kwa mapokezi mazuri na kwa kutupa elimu yenye thamani kubwa.
I am coming for everything i promised myself I will achieve. Here is to self fulfillment, love of fashion, styling, discipline and Hardwork.
#tanzaniahair #misstanzania #beatricealex #bbcswahili
This is your final reminder!
Registration for our Female Models Batch Two officially closes tomorrow 18 May.
If you’ve been dreaming of becoming a professional model, improving your confidence, learning runway, posing, branding, and entering the fashion & media industry this is your chance.
Spaces are very limited and the remaining slots are almost full. Don’t wait until it’s too late.
Join a new generation of confident, elegant and professional female models ready to shine on bigger platforms.
📍 Limited slots available
📲 Send us a DM or WhatsApp now to secure your position before registration closes.
☎️ +255 765 431 819
Tomorrow is the deadline. | Your modeling journey can start today.
Yesterday, I had the opportunity to participate in a BBC tour through our academy. It was an insightful experience where we learned key skills in communication and presentation, as well as how to gather, filter, verify, and effectively present information.