Home moxtratzPosts

Moxtratz

@moxtratz

Mo Xtra – the people's choice of refreshment and the ultimate top-selling berry-flavored carbonated soft drink in Tanzania.
Followers
2,279
Following
10
Account Insight
Score
28.76%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
228:1
Weeks posts
Unahitaji bidhaa zetu kwa haraka na bila stress? Tupigie kupitia namba zetu hapo juu.MO inakuletea kila unachohitaji, kwa urahisi, kwa haraka, moja kwa moja hadi ulipo. Huduma bora, kwa simu moja tu. MO Tunakuletea unachotaka, pale ulipo.
150 5
10 months ago
Xtra Energy is calling… Anza week yako na Energy kutoka MO XTRA ❤️
11 0
5 days ago
MO— Kibaha Recycling sasa tunapenda kuwajulisha kuwa tunapokea na kununua chupa za Plastiki Rangi aina ZOTE! Wasiliana nasi kila Mkoa kupitia Namba zilizotajwa hapo juu. Weka Jiji safi, Ongeza Kipato!.
48 1
3 months ago
Ni muda!!!! Wikiendi hiyoooo!!! Usisahau kurecharge na Mo Xtra⚡️
9 0
1 day ago
Mama ndiye shujaa wa kwanza maishani mwetu 💜 Mama huenda mbali zaidi, hujitolea zaidi, na husimama nasi kila wakati. Huu ni upendo wa kweli, wa dhati… wenye Xtra Love ✨ MO XTRA inawatakia kina mama wote Happy Mother’s Day 💐
10 0
6 days ago
Wahenga hawaamini🤣🤣🤣
12 0
8 days ago
Kuna ile moment umechoka hadi hutaki hata kuongea… halafu ukipiga MO XTRA ghafla unaanza kupata nguvu za kuzunguka tena 🥲🔥 Episode 10 imejaa vibes za hivi kabisa 😂 Wewe ukinywa MO XTRA huwa unaongezewa energy ya kufanya nini kwanza? 👀👇 Mtag huyo mshkaji ambaye akishakunywa MO XTRA anachangamka kuliko kawaida 😅 #dukalamo #moxtra #metl #vichekesho
36 1
10 days ago
Jumatatu njema⚡️ #MondayMotivation
8 1
12 days ago
Leo tunawatambua na kuwashukuru wafanyakazi wote kwa juhudi na nguvu mnayo onyesha kila siku. Mo Xtra inawapongeza na inawatakia Mei Mosi njema yenye heshima na mafanikio zaidi. 💪🏽✨
11 0
15 days ago
Wazungu wanasemaga system shutdown😂
26 0
17 days ago
Anza Jumatatu kwa nguvu mpya ⚡ Nguvu ya leo, nguvu ya wiki nzima Mo XTRA iko na wewe 🔥
9 0
19 days ago
Umoja wetu ndio nguvu yetu🇹🇿💪🏾
7 0
20 days ago