Home mcmadevuPosts

Mc Madevu

@mcmadevu

MC | Comedian | Singer | Jingles For Booking: Call: +255 (0) 685 771 077 +255 (0) 655 771 077 Email: [email protected]
Followers
191k
Following
3,505
Account Insight
Score
46.22%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
54:1
Weeks posts
Mchungaji wa masela๐Ÿ˜ @mcmadevu ๐Ÿ“ธ๐Ÿ“ธ @actros_junior
50 1
14 days ago
Ulikuwa ni wakati Mzuri kwa kwa @selphix_media Kufanya mahojiano na @mcmadevu baada ya kutoka Dar es salaam na kuwasili Dodoma kwaajili ya Tamasha kubwa la Injili na Live Recording linaloenda kufanyika Ukumbini @sephil_sapphire_pride_castle Tarehe 01/05/2026, ambayo ni siku ya Mei mosi. Nanga day Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @suzy_catering_dodoma @mc_mwakitwange @selphix_media @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter @safinaanglican_choir_
131 7
17 days ago
Hiiii ilikuaa kaliii jamanii
576 21
17 days ago
454 7
23 days ago
Tuna mungu upande wetu๐Ÿ™#fyp #trending #brownlovietz
296 12
23 days ago
Maneno machache ya @pastor_roseshaboka kwenye usiku wa Crown of Glory hapa Mlimani City usiku ambao mtumishi wa Mungu @nkoneupendo atakabidhiwa gari.
10.5k 407
24 days ago
Burudani, bashasha na vibe la kipekee vinaongezeka! ๐ŸŽค๐Ÿ”ฅ Tunayo furaha kutangaza kuwa MC Madevu amethibitishwa rasmi kuwa sehemu ya The Crown of Glory! ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Jiandae kwa ucheshi wa staha, uchangamfu wa hali ya juu na uongozi wa tukio utakaoleta furaha kutoka mwanzo hadi mwisho. Akishika mic, hali inabadilika mara moja! ๐Ÿ“ Mlimani City, Dar es Salaam Tarehe 23 Aprili 2026 Muda Saa 8:00 mchana Dresscode : Black & Gold Usikose usiku huu wa kipekee wenye neema, furaha na kumbukumbu zisizosahaulika. #TheCrownOfGlory #FromGloryToGlory
536 19
25 days ago
WAHENGA MPO? Mnazikumbuka hizo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.Hapa GEN Z MTUACHE KIDOGO,najua HAMZIFAHAMU HIZO KABISAA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.WAHENGA ITANENI NA NJOONI HUKU,Msikie SHABARANKS WA MCHONGO๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ.
264 58
26 days ago
The funniest man in Tanzania is on the roster as one of our panel members!! @mcmadevu You can't miss this amazing,spiritual lifting gathering this Saturday 18-04-26 Tell a friend to tell a Friend we are meeting at HaddyPro sinza studios.. PS: come looking fly for Jesus๐Ÿ”ฅ
33 0
1 month ago
Nipo na ndugu yangu kaka Mkubwa mc Mandevu Akitoa maelekezo Kwajili yakijiunga band ya watu wenye mandevu @agapegospelband #gospel music #wasafi tv
272 6
1 month ago
CONNECT TO THE SOURCE CONFERENCE is up and running... Here are our blessed and chosen panel for the conference. You can't miss this for anything... We meet on 18-04-26 at Haddypro Sinza Professional studios.. Tell a friend and every youth that a SHIFT is coming....
70 2
1 month ago
Mungu ndiye mwanzo na ndiye mwisho amini na uwe huru @its__suzette @wasafifm @directoronesmo
1,948 86
1 month ago