@mc_kitenge

MC ๐ŸŽคALL EVENTS | work with @tanzaniaborainitiative Drama therapist Acting director.
Followers
3,013
Following
1,980
Account Insight
Score
29.86%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
2:1
Weeks posts
Brand Ambassador @sokoni_jeans Kuna mavazi mazuri ambayo yatakufanya upendeze kuanzia Jumatatu hadi Jumatatu! Karibuni sana dukani kwetu, tupo Mawasiliano, Ubungo stendi ya zamani. Kwa pembeni kidogo utaona bango limeandikwa @sokoni_jeans . Ingia hapo ndani, hautajuta! @sokoni_jeans @mc_kitenge
63 3
1 year ago
44 0
1 year ago
Being a Director Nilipata nafasi pia ya kushiriki kwenye Theater production Kubwa kutoka @kkktubungo kama Mmoja wa Waongozaji (Director) ilikuwa ni experience ya tofauti sana kutokana na ujumbe pamoja na watu waliotumika kushiriki katika Onyesho hilo. Hongera sana @mc_cassa_tz kwa kuweza kufikisha ujumbe kwa nafasi ya Yesu na Asante pia @upendo_media kwa kurusha Mubashara (Live) onyesho letu hakika lilikuwa ni la aina yake. Kwa kuona zaidi onyesho hili kimbilia YouTube kwenye channel ya @kkktubungo hapo utaona kila kitu kilichofanyika na uwezo mkubwa tuliotumia katika kujenga wahusika na namna walivyofikisha ujumbe.
35 3
1 month ago
Hongera sana kwa kanisa la @vcctmbezibeach kwa kuandaa Easter production iliyoitwa #mission1095 ilikuwa ni nzuri na yenye mafunzo makubwa haswa katika historia ya Yesu Kristo. Mlifanikiwa kwa kiasi kikubwa kufikisha ujumbe. Mimi kama Muongozaji wa Maonyesho ya jukwaani hakika ilikuwa ni siku nzuri sana kwangu. @vcctmbezibeach @pastorhurumankone @mcmpande_events , @rebbygrapher .
35 2
1 month ago
Nilishiriki kikamilifu katika uandishi na uongozaji wa mchezo wa kuigiza uliotolewa na vijana wa Tunu Voice Mbeya. Ilikuwa furaha na heshima kubwa kushirikiana nao, tukibadilishana mawazo na mitazamo kuhusu sanaa kwa ujumla. Uzoefu huu ulinipa nafasi ya kuona ubunifu wao, kujifunza kutoka kwa ari na shauku waliyoonyesha, na pia kuchangia katika kuimarisha mawasiliano ya kisanii. Kwa kifupi, ilikuwa safari yenye thamani kubwa ya kiutamaduni na kijamii, iliyoonyesha nguvu ya sanaa kama chombo cha kuunganisha na kuhamasisha jamii. @empoweryouthprosperity @goethetanzania @cdeatz @wizara_sanaatz .
72 4
1 month ago
14.03.2026 More update Go and Follow @sokonijeansshoes @sokonijeansshoes #followforfollowback #fypageใ‚ท #trendingreels #tanzania
51 7
2 months ago
As a stage enthusiast and Director, I was honored to be among the thousands attending the 2025 Christmas Cantata by @watotochurch at Kampala SSS. The production was breathtaking and continues to paint a powerful picture of how the Gospel can be shared through the beauty of stage arts. A huge congratulations to Watoto Church for organizing such a monumental event. @claydanceco ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ nice job. Merry Christmas from us to you! ๐ŸŽ„๐Ÿ’™๐Ÿ’ฏ #ChristmasCantata2025 #StageDirector #WatotoChurch #GospelArts #PerformingArts CreativeMinistry
82 1
4 months ago
It's all about Love ๐Ÿ˜˜.
123 11
5 months ago
219 123
5 months ago
Sisi Ni wamoja Nimeamua kuwaza kwa kutenda๐Ÿ˜‚ #onelove #christian #Muislim #tanzania #peace ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
70 7
5 months ago
Kwa kila hatua tuipigayo huwa Kuna mtu anakuwa kama kioo kutamani kuwa kama yeye au zaidi , hapo ni Dodoma Miaka tisa iliyopita nikiwa kwenye uangalizi wake wa kukuzwa kama Mc anyways pamoja na mambo yote Mungu atabaki kuwa Mungu. R.I.P @mcpilipili_ pole kwa wadau wote wa Industry yetu ya MC'S kwa kupoteza Mkali wa hizi kazi.
50 4
6 months ago
Tanzania ni yetu sote. Mungu ibariki nchi yetu. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #TanzaniaBora
21 4
6 months ago