๐BEST FEMALE MC CENTRAL ZONE
2025
๐MWANAMKE WA SHOKA 2024
๐BEST MC CENTRAL ZONE 2024
๐ MWANAMKE MWAMBA 2024
Ready to Travel ๐น๐ฟ๐๏ธ0657003046๐
GOD IS GOOD ๐๐ฝโฅ๏ธ๐น๐ฟ.!
Ilikua ni Neema ya Pekee Kumsindikiza Mc Bora Tanzania ๐น๐ฟ Kwa Upande wa wanawake my beautiful sisy with a very kind heart @mc_linah โค๏ธ alipoenda kupokea Tuzo ya HESHIMA Kwa Kazi yake nzuri ndani ya Tasnia yetu kupitia jukwaa la @tzeventplanners na Alipotangazwa alitufuata na kushika Mikono yetu @mc_devoted na Ndugu yangu from Mwanza @mc_marymaginga na Kwa pamoja Tukapata Nafasi ya Kushare naye stage akipokea Tuzo Hiyo.. Baada ya Tuzo aliongea nasi mengi akisema Kwa Upendo na Tabasamu kubwa..! Moja kubwa alisema Let's support each other because we win together ๐..To Me This was PURE LOVE..! na Kwa Moyo Huu Together we become The best Versions of Who God created Us To Be..!! Naweza kuandika na kuandika ila Itoshe Kusema kuwa Tuzo hii aliidedicate Kwa wanawake wotee Ambao Ni Washereheshaji ndani ya Tasnia.!! Tuzidi kuombeana mema na Tupendane.!!
Waebrania 13:1 Upendano wa ndugu na udumu.
๐ @thebrows__bar
Our fascinator @nyonyomahereni
.
.
#bestfemalemcs #mclinah #mcdevoted #mcmarymaginga๐ฅฐ๐ฅฐ #tepa2026
GOD IS GOOD ๐๐ผโฅ๏ธ ๐น๐ฟ.
Unaandaa Cooperate Event?! Social Events kama harusi, kitchen party, send-off, nk,??
Je Ni Grand Opening, tamasha au tukio lolote linalompa Mungu utukufu?
*Mc DEVOTED ni Chaguo Sahihi ๐ฏ*
Fanya Booking sasa Kwa kupiga Au What's app ๐ฑ 0657 003046 kwani Daima MC DEVOTED
Anazingatia ITIFAKI , WELEDI NA USTAARABU huku akihakikisha tukio lako linakuwa na mpangilio mzuri, heshima na mguso wa kipekee.!
Kila tukio ni jukwaa la kumtukuza Mungu kwa ubora na ubunifu..!
๐ Weka booking yako mapema! Na Utatushukuru Baadae.!
MC DEVOTED IS THE HOME OF CREATIVITY EXPERIENCE AND EXCELLENCE.
๐ฅ๐ฅ@cheichei_pixel_dodoma@cheichei_pixel@fellyfelix23@bernadethabarandagiye@dodoma_fahari_ya_tanzania
#mcdevoted #cheicheipixeldodoma #godaboveall #tanzaniaevents #bestfemalemc
God Is Good ๐๐ผ
Jumamosi ya 15.3.2025 nmepata mwaliko Maalumu wa Kushiriki kwenye mafunzo ya Upskill Season 6 ya The Best Mcs @mcgarab na @mcerickmchome pale Sky City Mall Jijini DAR ES SALAAM,* Ambapo Kama Mwanafunzi wa Mwaka Jana wa Darasa Hilo *(Upskill Season 5)* Nliwashirikisha Wanafunzi yale nliyojifunza na kuyafanyia Kazi Kwa kipindi Cha mwaka Mmoja.! Imekua ni Wakati Mzuri sana na Mungu ametukuzwa!! My brother pia @mcpongwe alitoa ushuhuda wake na ilikua wakati mzuri . *MUNGU WANGU ASANTE*
Asanteni Sana Mentors Kwa Fursa Hii Adimu., kwani Tulikua zaidi ya 30 kwenye darasa letu na woteee tunafanya vizuri na Mapambano yanaendelea kuwepo hapa *NEEMA YA MUNGU.!!* Am Humbled!๐ง๐พโโ๏ธ,. Na Muendelee Kutoa maarifa haya kwani ni UTAJIRI unaodumu vizazi vyotee.!
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
๐Adorable Husband and My King๐ Asante kwa kukubali NILICHOBEBA na Umehakikisha Sipungukiwi na Kwa Kuridhia daima Nifike ninapohitajika.,,*MBINGU ZINITUNZIE WEWE*๐
๐ฆ ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
๐ *MABOWA DESIGNS* ๐ ๐ *Kwa Kuhakikisha* *Napendeza Hivi ASANTENI* *SANA.!*
๐๐ *Na Wotee wenye mapenzi MEMA NA MC DEVOTED NAWAPENDA TUUU... KARIBUNI SANA KWA BOOKINGS ZA 2025.. WE ARE HERE FOR YOU*
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐ค๐ค.
#mcdevoted #theblessedvoice
#upskillseason5
#upskillseason6
GOD IS GOOD ๐๐ฝโค๏ธ.!
When The Best Female Photographer @jadidu_creative_studio Meets The Best Female Mc @mc_devoted To God Be The Glory For The Two Of YOUโค๏ธ๐๐ฝ.!
For All The Events That Glorifies The Lord Don't Hesitate All Over The World ๐ Kindly DM us For More And We won't Disappoint ๐.!!
@ggardenandgrill2026
#jadidu #mcdevoted
GOD IS GOOD ๐๐ฝโค๏ธ๐น๐ฟ.!
My Sarah @jadidu_creative_studio ๐ฅฐ..! Kwenye upishi wa Jambo Kubwa โด๏ธ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ.@mc_devoted
#staytunedโค๏ธ ๐น๐ฟ.
GOD IS GOOD ๐๐ฝ๐.!
Wachaga wawili waliopendana ๐๐๐..! It was Soo cool and romantic..! I loved what I see ๐๐.! (Benson&Brenda) #utulivu #officialengaged #godisloveโค๏ธ #loveisabeautifulthing๐นโค๏ธ
GOD IS GOOD ๐๐ฝ๐.!
Highlights On #Brenda's Engagement party ๐๐.!
It's The pure smile on These faces For Me especially the last Slide ๐โด๏ธ๐โด๏ธ.
0657003046
#mcdevoted
GOD IS GOOD ๐๐ฝโฅ๏ธโค๏ธ๐.!
#bridetobeโค๏ธ's crew โด๏ธ โด๏ธ ๐ฅ ๐ฅ
Mungu akatupe Tabasamu la Last Slide wiki nzima Hii..Amen Amen!!
0657003046
#mcdevoted
GOD IS GOOD ๐๐ฝโฅ๏ธ.!
It's Official ๐..! #BB2026.! Mungu anapokupa wa kufanana Huwa it's obvious kama Hili Tabasamu la Benson na Brenda wake..!!โฅ๏ธโฅ๏ธ๐๐.MUNGU awe nanyi na kuwafanikisha kwenye Hatua zinazofuata IJN..Amen!
0657003046.
#engagementparty๐ #mcdevoted